Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,739
- 76,380
Akivileta nishtue tunywe wote, maana chai kavu haipandi[emoji848][emoji848][emoji848]nimekaa hapa nasubiri vitafunwa
Akivileta nishtue tunywe wote, maana chai kavu haipandi[emoji848][emoji848][emoji848]nimekaa hapa nasubiri vitafunwa
kwamba chai tayar?😂😂😂😂nimekaa hapa nasubiri vitafunwa
Shikamoo Baba hila sio kila kitu chai we mzee uwe muelewa vipi au unazeka vibaya ukiwa CHADEMAMie sio mtoto ni umri wa babaako mzazi. Kama una cheda watoto wa mwaka 1993 basi hapo nilikuwa ndio nimeachana na mke wangu wa kwanza tukiwa tumezaa watoto wawili. Haya niamkie haraka
Speed mzee sikutaka kuwa nae muda mrefu alafu nashangaa eti kaniganda balaaMna kasi ya ajabu Sana.. Yaani ndani ya siku mbili tu mmeshapanga kulalana..na mtoto anataka akuzalie, watu mna mioyo ya ajabu... Aisee hayo mapenzi ni ya speed ya light
Anyway endelea kuwa makini. UKIMWI upo na unaua.
Marhaba dogo. Halafu mbona kama unachanganya mafaili nani mwanasiasa? sijawahi kujihusisha na siasa halafu siishi BongoShikamoo Baba hila sio kila kitu chai we mzee uwe muelewa vipi au unazeka vibaya ukiwa CHADEMA
Am safe mkuu niko vizuri kabisaUle mtiririko wa nyuzi za ngoma ulio kuwa huku kabla ya pasaka unarudi kwa kasi kuleta mirjesho,wengine watakuwa wameukwaa wengine wamenusurika.Hongera yako mkuu ila haujatuambia kama wewe ulipima.
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa mzee msalimie Nyani NgabuMarhaba dogo. Halafu mbona kama unachanganya mafaili nani mwanasiasa? sijawahi kujihusisha na siasa halafu siishi Bongo
Unayo chai?nimekaa hapa nasubiri vitafunwa
Ha haaa mkuu kwa zama hizi kama hupendi tumia kondomu hakikisha hizi vitu unazo.una test mechi inafuataNgoja nianze Kushuhudia Ukuu Wa MUNGU Kwangu Hili ni Mojawapo wa Mambo Ambayo Mungu Amenitendea na Nimemuona kabisa Maishani.
Juzi Siku Ya Pasaka Tulitoka Na Rafiki Zangu Kwenda Band Kuburudika kidogo Basi bhna Nikawa Nimepiga Kinywaji Pale Kikaanza Kunikolea Nikamuona Binti Moja Hivi Nikamwita Tukabadilishana Namba Kesho Yake Jumatatu tukaanza Kuwasiliama Binti akawa kasi kweli full Wivu Sijui nini na nini Mimi nikawa nachukulia Kawaida tu Jumatatu hiyo hiyo tukapanga kuonana tukawa tumeonana sehemu tukaa mpaka usiku usiku hivi. Baadaye Nikamuomba Game akakubali vizuri kabisa akanipromise leo Leo Asubuhi ya tukawasiliana akawa anajiandaa kuja na mimi nikawa najiandaa kwenda sehemu tulipo panga kuonana.
MUNGU akanikumbusha Kuhusu UKIMWI nikapitia sehemu kwa jamaa yangu ana hospital pale nikaenda kuchukua vile vidude vya kupimia Ngoma basi jamaa akanipa mimi huyo mdogo mdogo nikaanza kusogea eneo la tukio.
Nilipo fika binti naye akawa kafika tukachukua chumba tukaingia tukaanza kupiga story mbili tatu nikamkumbusha Kuhusu UKIMWI akashtuka kidogo nikamwambia ni vema tucheck afya akakataa akasema yeye anaogopa ajiamini basi mimi nikawa nimekaza kidogo baadaye.
Binti akanambia nimeona niwe mkweli mimi ni muathirika nilizaliwa nao na hapa nilipo nipo kwenye doze toka 93 nimeona nisije nikakuumiza akaanza kulia Sipendi nikuumize Ndugu zangu Ny***nge zote zikakata Hakika Nikamshukuru MUNGU Sana Baadaye akaanza kulia akasema najua utaniacha lakini mimi nilishakupenda niko tayari kukuzalia ata kwa kupandikiza hapa niko njia panda binti kaanza kuning'ang'ania mara sijui umeanza kuninyapaa vitu vingi vya lawama Ushauri hapa niko njia panda jinsi ya kumuacha.
Ndugu Zangu UKIMWI Upo Umakini Muhimu Sana.
Ninavyo mkuu kuna jamaa ananipiga full kutest mabintiHa haaa mkuu kwa zama hizi kama hupendi tumia kondomu hakikisha hizi vitu unazo.una test mechi inafuataView attachment 1079328
Ata mimi nimeona kwasababu ana mtot inaonekana ata jamaa aliezaa nae alimtandika mpaka kuna time alinambia et ukimwi ni kitu cha kawaida tu nikamjibu basi kila mtu angekua naoMbona alikubali kuingia hadi guest kama hakupenda kukuumiza...
Isingekua kumkomalia kupima ukimwi, angekutundika...
Cc: mahondaw
Lazima yawe ya mwendo kasi coz jiwe kakata breki zote za kuleta maringoyaani mmekutana siku moja tu anataka na kukuzalia???????
ama kweli mapenzi siku hizi yamekuwa ya mwendo kasi sana