Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,894
- 8,975
Mimba ya one night stand ipo.. ila hapo kinachonishangaza ni kuwa mtu mmekutana mara moja tu anajikuta amekupenda kama amekufahamu toka kitambo???Mtot kanipenda we unashangaa nini hakuna mimba ya one night stander??
Anyway labda huko mjini mambo yamebadikika sana nowadays.