I SUSPECT my wife of having an affair with another woman.

i had kind of ths friend we both female bt she liked me too much that she had jealos seeing me with othr gal, txtn me 2 much e.g umeva nin, umelalaje mweh nkaona hii hatar nkapunguza mawasiliano na kum ignore and t worked eventual.
 
I think she not into you mkuu... and if that is your wife you need to do something, if a GF, sepa fasta

Inapofikia partner wako anachat na mtu mwingine, kimapenzi na wewe upo hapo ujue kabisa graph iko chini ya sea level, yani ujue unakua sawa na kabati au mkeka tu
 
On another thought, tafadhali nipatie namba ya my wife wako kwa pm, ntakupa "solution" within 24 hours za kuongea nae personally. Nimesikia yako (upande mmoja wa shillingi), nataka nisikie na yake (upande wa pili wa shillingi).
 
Now u wanna bang both, huh?
Mwayego uthimpe, atamalizia kunyonyoa. Bora wamemparura tu!
On another thought, tafadhali nipatie namba ya my wife wako kwa pm, ntakupa "solution" within 24 hours za kuongea nae personally. Nimesikia yako (upande mmoja wa shillingi), nataka nisikie na yake (upande wa pili wa shillingi).
 
Asikwambie mtu kuibiwa penzi na mwanamke ni nourrma! Atabaki kua na wewe kwa ajili ya show na matunzo tu lakini malovey davey yooote kwa mwanamke mwenzie! Tena kama bidada anayem-mega yupo tayari anachukua jumla kabisa.

aiseee!...hii kali lakini haileweshi...
 
Gog 4bid....ABOMINATION...
mkuu pole...kwanza hongera sana wewe ni mwandishi mzuri...salute!...kwa utafiti mdogo ulioufanya inaonekana mkeo yupo katika hayo mambo...either kwa kushawishiwa na mwenzie...au yeye ndo mshawishi...endapo anashawishiwa itakua rahisi kumsaidia...kwa kumkanya aache mawasiliano ya karibu na huyo bi dada...ila kama yeye ndio legendary mwanangu hapo ni pagumu...
 
Tafuta asili (historia) na tabia za wote wawili kwani inawezekana hata mke wako hukumfahamu historia au tabia yake na asili yao kabla ya ndoa. Ukishapata uhakika wa uchunguzi wako, jaribu kutafuta mtu independent amfanyie ushauri nasaha mke wako kama bado unampenda. Ingawa huo ni mtihani mkubwa kwa sababu watu wa aina hii wakishaanza tabia hizi inakuwa vigumu sana kuacha. Jiandae tu ubebe msalaba wako si kushauri umuwache hasa mkiwa na watoto na Mungu atakupa amani.
 
Hapo jamaa anatakiwa awe dikteta tu.......amwambie mkewe "kuanzia leo staki mawasiliano wala kusikia jina la huyo rafiki yako.......nikisikia tu I will know what to do!"

Jamani hata kama ni kupenda,basi isiwe mpaka unashindwa kukemea unabaki kulalama tu

i like this concept of yours
 
On another thought, tafadhali nipatie namba ya my wife wako kwa pm, ntakupa "solution" within 24 hours za kuongea nae personally. Nimesikia yako (upande mmoja wa shillingi), nataka nisikie na yake (upande wa pili wa shillingi).

Hahahaaa, kuna kitu kitandeka hapa muda si mrefu. Wacha tuendelee kufuatilia kwa ukaribu,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom