i present windows phone 8 android na ios killer kubwa kuliko

@deojames unacho kiona wewe kwenye Google Maps ni Aerial Photograph sio map, Maps ni much more than that, unapo ongelea maps unagusa streat view, traffic navinginevyo sio muonekano wa juu wa uso wa dunia. Hebu fuatilia kwa ukaribu zaidi utaelewa namaanisha nini.
 
kwenye map chif google wapo juu, hasa kwa maeneo yetu google imecover places nyingi ila nokia maps huwa inaonyesha location chache sana.
this is why wanasema nokia maps ni bora deo si maneno yangu ila ni features za nokia maps ambazo ni
  1. inapatikana nchi 190 katika coverage kubwa
  2. ina lugha 50 na sauti 70 za kukuelekeza (yani sauti itakupa maelezo zaidi utakapo lost)
  3. walk navigation. hapa google ndo anapatamani nokia inamdirect mwenda kwa miguu hata kama yupo kijiji gani
  4. live traffic. incase unatoka posta unaenda kinondoni nokia map itadetect foleni zote na kukutel upite njia ya salenda bridge au ya magomeni upo hapo deo?
  5. public transit over 500 cities hapa utapata taarifa za usafiri wa uma vitu kama daladala na train
  6. photo realistic 3d hii sio models 3d kama ya google hii ni reality satelite capture

zipo nyingi nenda maps.nokia.com kasome
ila deo angalia kitu kimoja usitumie map ya nokia ya simu ya mwaka 2007 ukafananisha na google map ya 2012 better chukua device mpya za nokia kama lumia na symbian belle za 2012 then uone. hii ndo itakua fair competition
 

it might b great Ila bado cha mtoto sana kwa android ..trust me..kama uamin angalia features za android 4.1 jelly bean
 
sijui kwanini napenda Android OS ... ... Me & my Rooted Android Devices ! HTC & Asus Tablet TF3 PRIME Damu damu hawa wengine kina i os Na haya ma window hayaniumizi kichwa kabisa
 
it might b great Ila bado cha mtoto sana kwa android ..trust me..kama uamin angalia features za android 4.1 jelly bean

Maybe sjaeleweka kwako mi sijataja features za windows phone 8 NIMETAJA FEATURES ZA WP8 AMBAZO ANDROID NA IOS HAWANA thats means wp8 ana za android ios symbian bb plus hizo.

Just wait for the release ila developers preview mpaka ya sasa ni wp8 ikitoka android na ios zitakua outdated apple wao wamerespond nao wanazindua kitu chao wiki moja baada wa wp8 android je?

Samsung wao nao wamo wp8, kuna nokia, htc, huawei brands nyingi sanaaaa.
 
Mkuu We ndo ueleweki unaongea nin...anyways kwa kukusaidia..ivi umeshajiuliza ni features gan ambazo zipo kwenye icecream sandwich or jelly bean or ios6 ambazo haziko kwenye iyo windows unayosema?
 
Mkuu We ndo ueleweki unaongea nin...anyways kwa kukusaidia..ivi umeshajiuliza ni features gan ambazo zipo kwenye icecream sandwich or jelly bean or ios6 ambazo haziko kwenye iyo windows unayosema?

Ndo na wewe ungezi mention maana mi sizijui
 
anonymous_007 tumia njia mbadala ya ku-quote jina badala ya post kama nilivyofanya mimi maana tunaotumia mobile inakuwa tabu ku-scroll page ndefu ambayo tushaisoma juu,.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…