I pad ya aina gani ??
Unajuaje kuwa huyo ni mwanaume au mwanamke mpaka umuite jombaa???Kuna aina ngapi za iPad kwani jombaa??
Mimi nimeshatumia sana hizo ma ipad na mavitu kma hizo ,ila ntashangaa sana karne hii kama kuna mtu anatoa millioni mbili kununua kitu mkononi mwa mtu wala sio dukani , bila guarantee wala waranty wala receipt yoyote..I pad on sale
16 GB
Nipo Mwanza
iOS 9
4G or LTE View attachment 358716
Ina miezi 6 tangu ichukuliwe dukani.
Send What's Up Message +33 782 83 93 29
Watu wananunua mpaka magari used (mkononi ) we unashangaa mil mbili kwa ipadMimi nimeshatumia sana hizo ma ipad na mavitu kma hizo ,ila ntashangaa sana karne hii kama kuna mtu anatoa millioni mbili kununua kitu mkononi mwa mtu wala sio dukani , bila guarantee wala waranty wala receipt yoyote..
Ama kweli dunia ina mambo
Unajuaje kuwa huyo ni mwanaume au mwanamke mpaka umuite jombaa???