I never thought it'd come a day that....

I never thought it'd come a day that....

Mtoa mada poleh,give ur self time,utamove on tu...kilichomtoa hapo kwako 'security' kimaisha tu sio penzi...analia mana she still loves you but na huko kwingine kunamvutia...
Suprisingly ipo siku ATARUDI TU kukuambia ur the one who loved her truly..ila maisha ndo hivo..

Security or love...which is more important?
 
Bwana ww huyo mtoto anakupenda ba amekuzoea hasa ila sasa maisha yanampeleka speed ww endelea kupumzika huku ukitafuta something special kwako.....ila ur both young .....kuwaza kuona kula ujana .
Pesa ndo hb wa mjini
 
Emotional security or financial security..which is more important?

'Emitional security' weights more, but i still feel something in me, can't let her go that cheaply bana...
 
mkuu... love is like a game... if you know the rules... the game is so easy.. hapo ni simple kwa akili ya kawaida the lady is really loves na huyo pedejee anapendewa mkwanja tu... koz bint kaamua kukucheat na ww kua kauzu sasa.. ww endelea naye (kamua unyumba kama kawa).. ila hizo pesa anazopewa na huyo boya na ww jitahid upate fungu... na msaidie huyo bint tecnic za kula mpunga wa hyo kilaza.... over
 
Ahsante...
Tatizo nashindwa kumwelewa, kwanini alikua analia wakati nasoma text za conversation yake with 3rd party, then kwanini alinambia ananipenda and she still loves me...
Kwanini lkn, mechanganyikiw
 
mkuu... love is like a game... if you know the rules... the game is so easy.. hapo ni simple kwa akili ya kawaida the lady is really loves na huyo pedejee anapendewa mkwanja tu... koz bint kaamua kukucheat na ww kua kauzu sasa.. ww endelea naye (kamua unyumba kama kawa).. ila hizo pesa anazopewa na huyo boya na ww jitahid upate fungu... na msaidie huyo bint tecnic za kula mpunga wa hyo kilaza.... over

Ayiiiii...!!!
Yani nimboost aendelee kudinywa, kisa pesaa?? Wat a fail?? If that's the game, ain't ready to dispose my card on that table, hapana.
 
Kudate na wanachuo kizungumkuti kabisa. Kilio chake huyo dada ni kwa sababu kishaona kaingia choo cha kiume, jamaa kishamuonesha kuwa ni hit and run. Sema sababu bado anampa last pension kaona hawezi chomoa ili aendelee sasa anaona anakaribia kukosa yote.

Cha muhimu, acha muda uamue, concentrate na kilichokupeleka chuo!
 
Aseee mkuu huu ndio muda wa at least kufanya selection,there's no other than this we're hiting, unadhani kitabu bila hayo mavitu kinapandaa???
Afu kama anahisi kua she's loosing both sides, kwanini hakuomba msamaha tuendelee na love yetu...
 
'Emitional security' weights more, but i still feel something in me, can't let her go that cheaply bana...

Tatizo ulizoea mapenzi ya tamthiliya na showoffs. Kula pamoja, muda wote mko pamoja hii kitu inawacost sana wanaume. If you practice this kind of relationship, believe me utapata tabu sana kucontrol relationship yako. With that kind of relationship tegemea matatizo mengi kuibuka, kama vile kukaguana simu mara kwa mara, kuulizwa maswali ya upo wapi/unafanya nini/ upo na nani (i hate most haya maswali ) mara kwa mara na mengineyo ya kipuuzi. Wanaume naturaly tumeumbwa kama viongozi, women should be followers and contributors when needed to. Wanawake wanafundishika, all matters ni awe na upendo hata kidogo kwako. Hivyo basi with this characters uongozi huwa unakuwa mgumu sana, na kupelekea wengi kushindwa kuongoza na mahusiano kutetereka. "Ishini nao kwa akili"

Ingawaje kwa kesi yako haiihusiki directly, ila somehow inahusika, kwani now inakuwia vigumu kukaa lonely. Hapo kubaliana nae kiroho safi, mwache aende ila stori ziwepo usinyee kambi. Ukimng'ang'ania atakuumiza kichwa na hutofuatilia masomo. Jifunze kuwa gentleman, utaenjoy masuala ya mahusiano.

If you practice that method utaishi kwa amani sana.
 
Xyz 123 simply umemaanisha, ukitaka kufaidi mapenzi unatakiwa kuwa kauzu....
It sounds awkward too. If that's your sense of gentlemanliness.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom