I never thought it'd come a day that....

I never thought it'd come a day that....

ONTARIO

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2013
Posts
1,792
Reaction score
17,192
Hellow MMU...!!!

After a drastic semester at last it's down to the wire, thanks God...!!! Kitabu kilikua cha kikuda kinyama.

Back to the topic...

Kuna this chick, nilijuana nae almost a year now, wakati tupo jeshini-kigoma. Honestly ni mzuri sana, she's just too adorable, mpole, mkarimu, she's cute looking...she got 'em all.
At first alikua rafiki 'angu wa karibu sana,tulikua wote almost muda wote, as we were all leaders.
Nilishuhudia makamanda wengi wanakapigia misele, lkn wapi... she was that stable. Sikua na mpango nae kbs,coz nilijua we'd never meet again after the course.

Method to my madness, surprisingly enuf, ikatokea kama bahati, selection za chuo zilipotoka nikawa nimepangwa nae chuo ki1, it was like, c'mon im i dreaming....
Basi nikaongeza mazoea, chating siku nzima, story za hapa na pale hazikuisha. The 1st time tulionana tena baada ya kutoka jeshini ilikua siku ya kuripoti, so we did all the registration processes in a pair.

Basi siku zikaenda, ukaribu ukawa unaongezeka, till point X hit the mark. Si kidume nikaamua nistand on my balls, nikampiga stanza mtoto,heeeh out of the blue si akachomoa bana. Ah nikakomaa nae mdg ndg ka mwezi hivi, at last we had a spot to seal deal.

Bas penzi likakolea likafika patamu, even too ecstatic to define. Baada ya kama 3month hivi, i got in into her pants... She really enjoyed the pumps, i too. So baada ya hapo ikawa sio shida tena kupata kamchezo mara moja moja.

Does love die a natural death??
Kwakweli Sijui nini kikamwingia huyu mtoto, mara ghafla akaanza kubadilika, she ain't paying lot of attention on this luv, sahivi muda wote yupo very busy, hana hata muda wa kupoteza, tulizoea kula pa1, kurudi hostel pa1 nk lkn nashangaa sahivi hana ushirikiano hata punje. Pia nimeanza kupata hofu zaidi, hasa kwasasa she's too refined, anaonekana ana tupesa pesa twa hapa na pale, anagonga viwalo tofauti na awali...:

Leo nikamtafuta tukaonana, tukapiga sana story,she showed some concern, alikua na furaha sana,baada ya story nyingi mwishoe nikawa curious kujua kuhus r/ship yetu, nilivyogusia hiyo habari,akaonesha kudhohofika sn, suddenly she felt so gloomy ....mara machozi yakaanza kumlenga then akanipa simu na kuniambia nisome msg.
Kwakweli nilifedheheka sn, as kuna conversation inaonesha kua anadate na mtu mwingine ambae, kiukweli anaonekana yupo vizuri financially.
Kwakweli nilishindwa kuendelea kusoma nikamrudishia sim, actually she couldn't fight back her tears, huku akiniomba msamaha, eti hakua na jinsi nyingine zaidi ya kunicheat. Aliendelea kutoa machozi huku akisema ananipenda sana.

Asee this thing really pains hadi mifupani,I'm totally confused, sijui hata nini nifanye...
 
Pole sana, hata kabla sijafika hapo uliposema ana njemba mwingine nilishahitimisha kwamba penzi haliwezi kufifia kirahisi kiasi hicho bila kuwepo kwa mtu wa tatu. Anaposema anakupenda sana anamaanisha bado anataka kuendelea kuwa nawe? je, uko tayari kushare penzi na njemba nyingine? Kwa maoni yangu hustahili kuendelea kuumiza moyo wako. Ongeza juhudi kwenye masomo yako ili umalize vizuri maana hili linaweza likakuathiri hata kwenye masomo yako pia.
 
Ukiona manyoya..... Mshukuru amekuambia ukweli mapema upate pa kujipanga upya. Pole sana
 
Third party has upgraded to benefitiary,pole sana soma mdogo'ang uzipate ukifika huku kitaa utajipigia umtakae,la sivo utaendelea kuumizwa tu
 
Me sijaelewa why analia, kwamba analia coz amekucheat while anakupenda? Does it mean kwamba amekucheat tu coz of money? Nahisi kukuonesha hiyo conversation ni kutaka uchague kuendelea naye kama utaweza kushare au ubwage manyanga chini. Pole mwaya, mara nyingi mapenzi ya chuo ndivyo yalivyo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pole sana... basi tu, mrembo hakukupenda kwa dhati. Mdogo mdogo jiondokee tu
 
Mtoa mada poleh,give ur self time,utamove on tu...kilichomtoa hapo kwako 'security' kimaisha tu sio penzi...analia mana she still loves you but na huko kwingine kunamvutia...
Suprisingly ipo siku ATARUDI TU kukuambia ur the one who loved her truly..ila maisha ndo hivo..
 
kwenye hela ndiyo watoto wanatulia tuli,,kama unachuja vaa miwani usione gere!!!
 
Back
Top Bottom