I never felt this way Before!

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Wana wake wa mjini acha tu,

Nimekutana na lidada miaka tele january 2 december za kutosha
Ananiambia " I never felt this way b 4"

Huyu mmama ni mkweli au mwizi ananiongopea?
 
akikukata huyo hutoki embu kimbia kabla hajamaliza salary yako
 
Wana wake wa mjini acha tu,

Nimekutana na lidada miaka tele january 2 december za kutosha
Ananiambia " I never felt this way b 4"

Huyu mmama ni mkweli au mwizi ananiongopea?

Changanya na za kwako....
 
Security baba, wenzetu tendo ni kuwa unachukuliwa jumla, wakati sisi ni pleasure so lzm atafute kitu akuchanganye nacho ili uendelee kula tena na tena hatimaye NDOA
 
Alikwambia amejisikia vizuri au vibaya? (feel good or bad) " I never felt this way b 4"

Tatizo letu sisi Wanaume Binti akikuelezea the way anavojifil 2nakuwa ha2amin!!!!
Jaribu na wewe kijiuliza kama unajifil the same she fills 4u!!!
Ni Hayo 2 bulaza usijali AGE sana but iwe diff ndogo!!!
 
Inawezekana, kwani alikuambia baada ya wewe kumfanyia nini? Kumbusu? Kumnunulia zawadi? Kumsifia kapendeza? au?
Hebu fafanua kidogo......Ila inawezekana kabisa kuwa anamaanisha anachokisema.
 
Inawezekana, kwani alikuambia baada ya wewe kumfanyia nini? Kumbusu? Kumnunulia zawadi? Kumsifia kapendeza? au?
Hebu fafanua kidogo......Ila inawezekana kabisa kuwa anamaanisha anachokisema.

Eti ehe mh inamaana tangu aanze na umri huo hajawahi jisikia hivyo!

Ok it is possible!

nilifurahi sana aliponiambia hivyo but nikaanza jiuliza kweli kwa umri huu!
 
Wana wake wa mjini acha tu,

Nimekutana na lidada miaka tele january 2 december za kutosha
Ananiambia " I never felt this way b 4"

Huyu mmama ni mkweli au mwizi ananiongopea?

Sishangai kwa hilo, tafiti za wataalamu wa elimu ya kujamaiiiana(sexiology) zinaonyesha kuwa zaidi ya (60%) ya wanawake duniani wanazeeka au mpaka kufa bila kujua kitu kinaitwa kufikishwa killeleni ktk tendo, ingia google utaleta majibu, so cjui kama ulidanganywa au alisema ukweli................ ila usanii upo yakheee
 
I never felt this way b4!
kwanza hii ni tungo tata........ pili inawezekana it was so bad yaniiii hakuwahi kufill ubaya kiasi hico
je iweje we ufikirie kamshahara kako hako ka JK.......
 
inawezekana kuna jambo alitamani kwenye mapenzi we umempatia sasa lazima ashukuru haijalishi umri alionao kuna package nyingine zinakujaga in a very unique way unaweza usizipate tena au ukabahatisha once ,twice ina a life time

Eti ehe mh inamaana tangu aanze na umri huo hajawahi jisikia hivyo!

Ok it is possible!

nilifurahi sana aliponiambia hivyo but nikaanza jiuliza kweli kwa umri huu!
 
Eti ehe mh inamaana tangu aanze na umri huo hajawahi jisikia hivyo!

Ok it is possible!

nilifurahi sana aliponiambia hivyo but nikaanza jiuliza kweli kwa umri huu!

Sasa mkuu wewe ulijisikiaje ?? Like Never before or normal??
 
I never felt this way b4!
kwanza hii ni tungo tata........ pili inawezekana it was so bad yaniiii hakuwahi kufill ubaya kiasi hico
je iweje we ufikirie kamshahara kako hako ka JK.......

ha ha ha ! umenichekesha sana Wakuchakachua, au alifikili amechakachuliwa kimapenzi?
 
Back
Top Bottom