I never felt this way Before!

Mimi nilikwishawahi ambiwa hivyo tena na mwanamke ana watoto watatu kuwa nimemfikisha mahali ambapo hakuwahi kufikishwa kabla kwa raha na siku nimeachana nae akatoka na kashfa kuwa nilikuwa simfikishi na sasa kapata mtu anaemkuna ipasavyo,KUWA MAKINI.
 
ha ha ha haaa!

Hawa watu ni balaa...!
 
Mimi nilikwishawahi ambiwa hivyo tena na mwanamke ana watoto watatu kuwa nimemfikisha mahali ambapo hakuwahi kufikishwa kabla kwa raha na siku nimeachana nae akatoka na kashfa kuwa nilikuwa simfikishi na sasa kapata mtu anaemkuna ipasavyo,KUWA MAKINI.

Ah, huyo ni wale wale SIZITAKI MBICHI HIZI... Tatizo lenu mkiiba mnahamia, kamua tambaa...
 
Back
Top Bottom