Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,862
- 8,523
Nlitaka nishangae,,kwa ufundi wote nliokufanyia jana usilete mrejesho Jf.!! ningebadili walimu wangu akina ross jeffries,darake rake,na neil straus ningehamia Tanga kwa mafundi wallah
Golden Chance never come twice!Kweli eh
Daaaah!!!!Nikikutazama roho yaniuma naweweseka kutokuona kabisa.
Nakuota mpenzi wangu nakuhitaji laaziz wangu nakupenda mpenzi wangu usiku nakuwaza hadi napata homa.
Tukigombana napatwa na presha nasina hamu yakula wala kunywa .
Nakosa usingizi kisa wewe mpenzi .
Nakupenda sana sana bila kifani.
Ulinipa nini jamani wangu hadi nachanganyikiwa hivi mapenzi yako yanemtoa katoto kazuri mafichoni.
I LOVE U I LOVE I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I REALLY LOVES U.
Naomba unikune jamaniKatoto kanawashwa
Mchnganyiko end of the day jamani 😂😂😂Huu ni wimbo au ushairi
Eti kwa hiyo nifanyaje??Golden Chance never come twice!
Njoo PMEti kwa hiyo nifanyaje??