Hiyo unaset mwenyewe. Mimi kwenye simu yangu ya nokia niliingia message, then nikaselect options halafu kuna sehemu imeandikwa ''add mailbox'' then nikaandika email yangu, na password yake, then ikaisearch kama kweli ipo, finaly ikasema ''new mail box added''
tambua kuwa, mailbox zinazokubalika na Nokia ni kwa email za google, yahoo, msn na hotmail. Nyingine sijawahi kujaribu but nimeambiwa kuwa zinakataa.