jamani naombeni msaada natumia noki e61i and nasikia kuna uwezekano wa kupata e mail moja kwa moja kama sms za kawaida, bt sijui jinsi ya kufanya ili nifanikiwe hilo zoezi
hii huduma ipo ila nasikia inatolewa na service providers (mtandao husika) na kwa hapa kwetu cjui km kuna kampuni ya simu inatoa huduma hii anway labda kuna ujanja mwingine tuwasubirie wataalam watudadavulie
Haitolewi na service provider, ila uwezo wa sim! Kuna kitu kinaitwa wizards katika sim ambapo unatakiwa ujaze email addres na password baada ya hapo email utazikuja kwenye menu kuu ya msg ikiwa na jina la gateway husika!
Hiyo unaset mwenyewe. Mimi kwenye simu yangu ya nokia niliingia message, then nikaselect options halafu kuna sehemu imeandikwa ''add mailbox'' then nikaandika email yangu, na password yake, then ikaisearch kama kweli ipo, finaly ikasema ''new mail box added''
tambua kuwa, mailbox zinazokubalika na Nokia ni kwa email za google, yahoo, msn na hotmail. Nyingine sijawahi kujaribu but nimeambiwa kuwa zinakataa.
Kama unaongelea kupata emails kwa push kama BB email service. Hii inategemea na provider wako wa emails na software unayotumia kwenye hiyo simu. Sio kila provider anasupport push. Nokia E61 inasupport Microsoft Exchange Push so kama provider wako anasupport Exchange unaeza kutumia hiyo(Nokia Europe - Mail for Exchange - Product support - Support) na ilikuwa inasupport BB Connect kama ukiweza kuipata software yake.
Pia kuna software ya GMail kutoka Google so kama unatumia Gmail labda hii nayo inasupport push nenda m.google.com kwenye simu.
Kama provider wako hasupport push basi unaweza kuset simu iangalie kama kuna email mpya kila 10min au kitu kama hicho so inakuwa fake Push fulani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.