Wapenzi leo nzima nilikuwa na siku nzuri sana yenye furaha tele, lakini ilipofika mida ya saa kumi jioni siku imeharibika kabisa, nimekosa raha na najisikia vibaya sana, ikizingatiwa mimi ni mtu wa kuwa na raha wakati wote na huwa siruhusu kabisa moyo wangu kuvunjika, lakini leo hali ni mbaya. Asante sana kwa wewe rafiki uliyenipigia simu kutoka mbali, in such a way umenifariji kwa kiasi fulani.
Wapendwa am feeling bad.
POLE SANA, ila nahisi muda huu utakuwa unajisikia vizuri kutokana na msg nzuri za wana JF,
HUZUNI na FURAHA vyote ni sehemu yetu ya maisha...hatuna budi kukabiliana navyo.
I LOVE YOU na NAAMINI WANAJF WENGI LOVES YOU vile vile.......
Preta; whatever it is you are going through I believe you are strong enough to pass through it,
you just need to be sure of yourself and some extra courage which you shall find in prayers,
We got love for you......I got love for you!
and if at some extent you might feel that you need some extra strength....you can always lean on
either one of our shoulders....or even two/three/four....if you like!
Stay well. You are stronger than that - whatever it is dont let it overpower you. xoxoxoxo
Dah! Fitina hizi jamani zimeishaanza hata kabla ya safari WL jivue gamba mapema lolasee chalii yangu nakuskilizia,,,hapo kny logistic najua hutaniangusha arif! Digidigi asijue
nikilala nikiamka nakuta mawazo pale yalipoishia ndio yanaendelezea hapo hapo....huwa napenda nikisikia vibaya nikisema kama hivi nakuwa released
nikupe namba yangu?
Preta; whatever it is you are going through I believe you are strong enough to pass through it,
you just need to be sure of yourself and some extra courage which you shall find in prayers,
We got love for you......I got love for you!
and if at some extent you might feel that you need some extra strength....you can always lean on
either one of our shoulders....or even two/three/four....if you like!
Stay well. You are stronger than that - whatever it is dont let it overpower you. xoxoxoxo
Hewaa sasa mamii kesho asubuhi naja ikibidi nitakaa hadi kuhakikisha unarudi katika hali yako ya kawaidaTF anajua kushona vizuri......biggie ana hasira sana anaweza akanionea huruma hasira zikampanda akashona vibaya....
Please do.....
nikilala nikiamka nakuta mawazo pale yalipoishia ndio yanaendelezea hapo hapo....huwa napenda nikisikia vibaya nikisema kama hivi nakuwa released
pole sana Preta,
moyo wangu umenyon'gonyea kwa huzuni uliyonayo,
hebu furahi nasi pamoja!!si vizuri ukiwa na huzuni,
Kwani ni nini zaidi mpaka uwe hivyo?
Asante Dena....huyu shetani hataniweza anajisumbua bure.....nimelowekwa kwenye damu ya Yesu
hi dear....how is you?