I need my Mr. Right

Kuna mambo mengi yanayoweza kumchelewesha mtu isitoshe sihitaji jokes..kama hujaguswa pita kimya kimya
Ebu acha taralila usituzuge hapa...! Mambomambo umetumika tangu umevunja beseni mpaka leo sometime mnawekwa pending mtu akiona usomeki unapigwa chini anabemba fresh toto..! Wenzio ni funzo kuolewa mahesabu mama mnaojifanya mnàjua kusoma mtaolewa na masters na PhD zenu, nani anataka bibi kisa ana elimu kubwa??? Tafuta mseja ukamsaidie kulea wanawe...
 
Bibie monica Jana nimekuota wewe ujuwe ni pm fasta tuanze michakato fasta
 
32 yrs Duh..umekula ujana..na watoto utawalea uzeeni..
 

But am 44, will u
 
hebu sema 170 tall ndo nini, mi vyote nimetimiza kasoro hicho sijajua ndo nini, nielekeze nikufwate pm fasta. ila weka picha ukiwa umesimama na nyingine ikionyesha kontena,si unajua mpenzi mtarajiwa uzuri wa nyumba nanihii!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…