I need husband

I need husband

Utampata tuu usijari, subir pm zitamiminika utazichoka mwenyewe.
 
Mwanaume nimtakae awe na umri 30.....35, Christian awe na upendo wa kweli, mm sina wazazi kwaiyo nahitaji upendo kweli atakaye kuwa tayari kunipenda kwa dhati.
 
Hivi ni kweli kuwa ndoa zinahitajika kwa hali na mali kias hicho? Naona matangazo yanazidi ....... Kila la kheri bi dada
 
Ni Christian naabudu Luthera, nina Degree 1 ya Industrial Relation, nimeajiriwa gvt sector CMA commission of Mediation and Arbitration nataka Husband Mcha Mungu.
Kweli uko serious..All the best
 
Nimesoma fasta ila baadae nikashtuka..nikushauri kama ulivyosema huna wazazi..pls pps pls pks pls dont get into trouble ndoa za siku hizi ni moto hakuna upendo wala nini si mwanamke si mwanamume siku hizi hakuna.anakuoa leo kesho michepuko kama kawa...unaolewa leo vidumu kibao..ukitaka kuishi kwa stress maisha yote get married..utanipa report baada ya miaka miwili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom