thank you so much Mkuumh pole sana ndugu yangu.
Amen... Thank you so much mkuu... God will see me too.... Sometimes I feel like God is not there for me.... But I still believe in him....Pale uwezo wa kibinadamu unapoishia ndipo uwezo wa Mungu unaanzia.
Thank you Mkuu kwa ushauri mzuri Sana... Nina rafiki angu mmoja tulitengeneza wazo la kutafuta mtaji walau WA laki sita hadi 8 then tuanzishe kibanda somewhere (rafki yangu anapajua na wanamgahamu) tuuze vifaa vya cm, na maswala ya kutengeneza cm (ye anaujuzi WA kutengeneza cm) na tuweke m pesa na tgo pesa nk... Au hata kufanya biashara ya max malipo kuuza luku na kadharika... Kwa eneo lile alolitaja yeye Ni kweli biashara itaenda na itafanikiwa Sana ILA tatizo Ni kupata mtaji wote huo.. Is true ILA niliogopa kuomba mchango WA pesa kwa watu hasa jamii forum caz some people may think that I'm some kind of tapeli... ILA ukweli nikipata huo mtaji hakika tafanikiwa....umenikumbusha jambo kubwa Sana ambalo nilikuwa nishalisahau na kuingiwa hofu kuwa SI rahisi kupewa na watu kiasi chote hicho na nikakata tamaa kwamba lazima nitafte kazi ili ndo nifanye savings ikitimia hiyo hela ndo nikaamzishe hiyo biashara na rafiki huyu...Pole mdogo wangu ndo dunia hiyo kuna watu wabaya kuliko wanyama nashindwa kuelewa ila naona umejikita sana penye kazi ambao ki ukweli ndo njia rahisi na watu husema kuliko mtu akupe samaki ni bora akufundishe kuvua samaki.
Pana mdau siku za nyuma alikuwa na tatizo la kodi alijieleza na watu waungwana wenye mioyo safi walijitolea kutoa ni moyo usambe si utajiri.Nadhani unaweza hata kufanya upembuzi mdogo wa biashara ndogo ndogo kisha ukaiweka hapa wadau tunaweza kujipigapiga jamiiforums.com ni familia kubwa ingawa najua pana watu watakuja na kusema mimi hela wenyewe ya bando naipata kwa ngama.Na wengine husema sijui anaweza kuwa tapeli ila ndugu zangu suala la kutoa tutoe na mungu atatuongezea.
Humu humu jamiiforums.com pana waungwana wengi tu kuliko hao wa kujistukia kiukweli utapeli upo lakini usitufanye kila mtu akose msaada kisa utapeli jaribu kuunganisha uzi au anzisha mwingine huwezi jua hata kama haitakuwa pesa yote ila si haba unaweza kuambulia kitu fulani something is better than nothing.Thank you Mkuu kwa ushauri mzuri Sana... Nina rafiki angu mmoja tulitengeneza wazo la kutafuta mtaji walau WA laki sita hadi 8 then tuanzishe kibanda somewhere (rafki yangu anapajua na wanamgahamu) tuuze vifaa vya cm, na maswala ya kutengeneza cm (ye anaujuzi WA kutengeneza cm) na tuweke m pesa na tgo pesa nk... Au hata kufanya biashara ya max malipo kuuza luku na kadharika... Kwa eneo lile alolitaja yeye Ni kweli biashara itaenda na itafanikiwa Sana ILA tatizo Ni kupata mtaji wote huo.. Is true ILA niliogopa kuomba mchango WA pesa kwa watu hasa jamii forum caz some people may think that I'm some kind of tapeli... ILA ukweli nikipata huo mtaji hakika tafanikiwa....umenikumbusha jambo kubwa Sana ambalo nilikuwa nishalisahau na kuingiwa hofu kuwa SI rahisi kupewa na watu kiasi chote hicho na nikakata tamaa kwamba lazima nitafte kazi ili ndo nifanye savings ikitimia hiyo hela ndo nikaamzishe hiyo biashara na rafiki huyu...
Ni kama 322 USD kwa nlivoangalia kwa bei ya Leo MkuuLaki 8 ni sawa na dola ngapi?
Thank you so much na Hilo ndo ninalowaza... Wakati naandika kuhusu hayo ha ndugu kutufanyia vile.... I was full of anger sababu aliniikumbusha mbali Sana niliemquote that's why... But natafuta kupata maisha yangu mwenyewe now na huwa sifikilii kabisa kuhusu ndgu na yaliyopita (japo kama binadam Kuna some extents nafikia na nakumbuka mambo mengi na kulaumu) ... Asante kwa ushauri mkuuAcha kulalamika,we focus mbele na kama kuna mali za urithi usizifikirie we songa mbele!
Kuna wakati baba,mama zetu huwa wanafanya makosa ktk malezi!
Wrote tushapitia maisha ya tabu na tunayaelewa yawezekana watu tushapata matatizo na kuyajua kuliko wewe!
Alafu usipende kuishi kwa kulaumu laumu ishi maisha ambayo utawaonesha wale ambao hawakutaka maendeleo yako .....waje waone kuwa unaweza!
Uwiiiiiii katutukana .....mdogo wangu, endelea kumuomba Mungu na weka juhudi zako katika kile utakachopata na kukifanya....atakusaidia tu...wabongo wanasaidia kwa kutaka sifa tu...ukim-face yeyote mwenye uwezo hawezi kukusaidia hata ungeongea kichina....wanatoa misaada kwenye ma-TV tu ili waonekane na jamii...kwa hapa bongo ni bora mlalahoi mwenzako atakusaidia.... kama wewe ni mchaga au mhaya unaweza ukawaona wazee wa makabila yako ukijieleza vizuri unaweza pata msaada..lakini kama ni kabila nyingine kama wanyakyusa, wahehe, wakinga, wasukuma, wasafwa, n.k sahau kabisa...hayo ni makabila ya ajabu sana hapa duniani
na hili kabila letu kwa kunyang'anya Mali za marehemu cjui wataacha lini Dahh serkali kuna ya kuleta semina elekezi kwa hili kabila langu ....Yes is true what you say Mkuu.. Mi Ni mnyakyusa (siwachukii wanyakyusa) ILA nawachukia ndugu zangu Sana because walichotufanyia after my father's death sitakisahau in my life.. They are devils..you can't believe they turned to a worse people I've never meet before... All was about things. Just things like cars,house etc changed them wakawa mashetan yenye roho mbaya.... I Don't want even to remember about the past and that's why I don't want to deal with anyone now wameharibu sana future yangu nmekua kama nmezaliwa in a poor family.. Afadhari nngezaliwa kwenye poor family nngeweza kuishi mazingira yoyote but imenchukua muda sana kuadapt mazingira ya kukosa hata mlo mmoja kwa sku... Is very bad thing.. Bora uwe maskini then ghafla uwe tajiri kuliko kuwa tajiri au na uwezo kiasi then uje kuwa maskin... Nimepitia mengi siwez kusema hapa but all I want now is to get job... Ndugu WA ukoo mmoja wamekuwa worse thing kwangu.... I'm happy now caz I don't know where are they and if they know where I am now I don't care...
Usijali na inshallah magum yako yatakua mepesi Mwenyezi Mungu akutangulieOk asante taandika kwa kiiswahili PIA.. Asante kwa ushauri
Nimeipenda hii maneno machache ila mazito kwa mungu kila kitu kina wezekana ukimuamini na kujikabidhi kwake na kufanya unachofanya kwa juhudi na uaminifu.Usijali na inshallah magum yako yatakua mepesi Mwenyezi Mungu akutangulie