I need a gal to chart with and exchange ideas

I need a gal to chart with and exchange ideas

Mambo ya ku pm...haya ngoja wanakuja..wataku pm..lkini nadhan hapa nipazuri zaidi kubadilishia mawazo yako.....
 
Una domo zege wewe sio bure maana haiwezekani mademu wote uliosoma nao chuo usipate hata mmoja.
 
Why usisubiri paka uwe recruited into a job?

Next time uandike kwa kiswahili. Maana umetumia nguvu kubwa kuandika kwa lugha za watu.
 
Am a man about 24 yrs. Accomplished university but not yet recruited into a job place. I need a girl to exchange views, ideas and all current issues relating with love affairs. If ur interested pliz pm me u will get response. Gals only.
leonard mwenda niwie radhi kwa hili lakini kama ulianza kusoma Kiingereza tangu shule ya msingi mpaka ukamaliza chuo kikubwa halafu hii ndio aina ya uandishi uliyo nayo.... Please NO....!!!
 
Sidhani kama utawapata kwakuwa umeeleza kuwa bado hujaajiriwa, waelezee kipato chako kama wataridhika nacho uone hizo pm kama mvua ya mawe
 
Find a job first. You won't need to post looking for girls. Girls will post looking for you.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom