last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,753
- 4,001
Tapel hili
Yes n mm vp unataka na wwSema "No, I am not single."
Kiingereza hakikubali kuchanganya hasi na chanya.
Kiswahili ukiulizwa "kwa hiyo hujaoa?" Kama bado hujaoa unatakiwa kusema "Ndio, sijaoa."
"Yes, I am not single" tuseme sisi tunaojifunza sio wewe Mmarekani unaetafuta soko la kuku wa kienyeji Tanzania.