I need a friend

Babu yangu ana umri huo kama vipi nikuunganishe nae ila yeye hayupo jf.
 
babu yako ni memba wa JF? hii sredi ni speshel offer kwa vifataki vya JF tu, huyo babu yako mpeleke takururu akazuie rushwa.

bwana nini?
Babu yangu yupo single halafu anajua kumjali mtu. Yaani hatojutia. Na wewe kama una dada yako lete cv yake nimuunganishie penzi.
 
Huyu dada/kaka anataka mtu ambaye life expectance iko dakika 85 ya mchezo wa mpira wa miguu ili akienda kuwa visit akina Plato na Aristotle aridhi utajiri wake. Huu ni ufisadi wa kijanja sana.
 
bwana nini?
Babu yangu yupo single halafu anajua kumjali mtu. Yaani hatojutia. Na wewe kama una dada yako lete cv yake nimuunganishie penzi.
hii CV ya babu yako ina kontradikshen, atakuwaje single halaf awe anajua kujali sasa eksperiens amepata wapi? acha kumpigia debe babu yako bana! acha nimPM dinam kabla haujaniwekea guu wewe na grandbabu wako
 
babu yangu ameachwa na bibi 3yrs ago jamani.
Dinam hataki vijana au wewe ushachakachua birthday yako eeh?
Dinam nipm nataka uwe bibi yangu.
 
Mmmh!! Si useme mume 2??!!
Rafiki unaweka KIGEZO cha UMRI tena!!

rafiki kigezo cha umri pia muhm. Kama nina miaka eg 40 niwe na urafiki na mtu mwenye 15? Lol!
Unawaambiaje watu huyu rafiki yangu?
Vipi mzima lakini?
 
Hao wa miaka 40 hawakufai injini ya kushikilia na gogo mlimani, namba yenyewe moja ikipanda mpaka inalia uchovu, njoo upande mlima na namba 5.
 
babu yangu ameachwa na bibi 3yrs ago jamani.
Dinam hataki vijana au wewe ushachakachua birthday yako eeh?
Dinam nipm nataka uwe bibi yangu.

khaaa! halaf dinam wenyewe amepotea gafla kwenye mazingira ya kutatanisha, sjui tayari amepata au ni matatizo ya mgao wa umeme? halaf jaluo nyeupe sjui yuko wapi, hili ni zali la mentali.
 
kwanini? mbona unanitishaga? halaf hizi sred za "i need a friend" nimegundua ziko twin. au leo ni siku ya friendship?
yahaa ziko mbili kweli lol..

nway wewe si una miaka 39 siku 361 masaa 23 dakika 59 sekunde 10 na vijisekunda 20..
mmhhh hata usihangaike kutafuta hiyo BCertificate ahahahahah lol...

unatakiwa uwe na 40 lakini bado sana kufika huko hahahaha lol
 
mmhh
bibie mbona umewalegezea hivyo??
wenyewe wakitakaga msichana/mwanamke..
mmmhh ni balaa humu ndani wataandika mpaka na rangi ya nguooo..
wakazie basi mtego kidogo ....
mmmhhh usiwaonee huruma..

frnd jamani mbona ivo?iyo kichenijf party mbaya! Waambie walegeze kabsa ili tupate wenza jaman.
 
Huyu dada/kaka anataka mtu ambaye life expectance iko dakika 85 ya mchezo wa mpira wa miguu ili akienda kuwa visit akina Plato na Aristotle aridhi utajiri wake. Huu ni ufisadi wa kijanja sana.

atajuta atakapokutana na droo kisha dakika za nyongeza. Noma zaidi dk za nyongeza kwisha kuna goel difference!hapa unaweza kukuta mjukuu ndo ana golidiferensi kubwa na ikala kwake. Mwambie ajipange upya!hatuendi kwa utabiri ila kwa calculated risk.
 
khaaa! halaf dinam wenyewe amepotea gafla kwenye mazingira ya kutatanisha, sjui tayari amepata au ni matatizo ya mgao wa umeme? halaf jaluo nyeupe sjui yuko wapi, hili ni zali la mentali.

Nimeshaliona hilo, ila kuna tatizo la umri. Hapa nipo bize nachakachukua beth satifiketi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom