I miss you


Don't worry. snowhite will be back. Usisahau hiki ni kipindi cha mjadala wa katiba mpya so we are extremely busy ku-draft hizi kanuni za bunge la katiba na pia kuwapa wajumbe semina endelevu.
 
Last edited by a moderator:
Don't worry. snowhite will be back. Usisahau hiki ni kipindi cha mjadala wa katiba mpya so we are extremely busy ku-draft hizi kanuni za bunge la katiba na pia kuwapa wajumbe semina endelevu.
partner hiv hatubreak hata kidogo?
I sometimes miss myself ujuee!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha...
Uliyonifanyia siku ya Valentine sina hamu na wewe!

Heee!
Na weee nae!
Yameanza lini haya ya kukumbushia mahasira?
Muda wenyewe tulio nao tunapishana kama nini!
Af ndo ukutane na mineno kama hii!
Nimenuna!
 
Mwalimu kwanini uliwakimbia wanafunzi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…