I miss you

Ahahahaha AF mtani katika rasimu ya katiba yetu kuna mahali tuliwekamo MU ya kuwa waongo?

Jirani nisamehe bure, mwenzio nimeshikwa na mishe mishe na kushikika...

Kwema lakini?
 
I miss my Dady, whenever he comes on my head i can not resist my tears, its 9 yrs now since God called him.
 
Mimi nilikuwa hata sikujui ndo nakuona leo.Hata hivyo hamna shida WELCOME.
 
karibu sana dear snowhite.. your twin SnowBall nae aliaga, sijawahi muona tena!

hivi uliondokaga na The Boss? simuoni kabisa siku hizi akikatiza na Neylu! au ndo kusema EMT kampa kifungo cha maisha? lols.. nakumbuka sana ile kesi yetu ya washington denzel ...!

miss you snowhite..!!! quote me soon!! lols...
 
Last edited by a moderator:

Niiiiipo hao wandugu itabidi nifanye la muhimu kuwatafuta!
Nao kama waliadimika kama Mimi basi ni hatari
Ahsante kwa kunimiss nawe!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…