I Miss You

Nimecheka kwa mara ya kwanza toka asubuhi...lol.. Matenite ya gesti hausi???..
Tatizo unacheka afu unasahau kunigongea kaLIKE. Unajua mi na Ka-LIKE ni sawa na Sisiemu na uchakachuzi Igunga.

ha haaa haaa...............naomba niwe mgeni hapa
Kiingilio ni miguu yako lakini ufumbe macho..

he he....subiri nitoke.....
Na kweli maana naona hata kajina kako kameandikwa na karangi ka damu. sijui ndo inamaanisha umejifungua jambawazi la kiume? Naomba protoko izingatiwe.....
 
Tatizo unacheka afu unasahau kunigongea kaLIKE. Unajua mi na Ka-LIKE ni sawa na Sisiemu na uchakachuzi Igunga......
Via mobile na like, wapi na wapi babu?... Ila usijali, utanidai like moja siku nikinunua laptop nitakulipa....lol
 
Nilikumiss wewe. Lete umbea sasa.lol.
Khaaa! Mwache mwenzio jamani, umbea gani unaoutaka? (Wa konda au dereva wake? lol) Kwa taarifa yako CUF wameshindwa vibaya huko Igunga!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…