I miss you!

Badilisha mienendo na tabia zako, vinginevyo utajikuta unaendelea kum-miss kila mwezi!!!
 
Bwaaa hahahahahaaaa! Mishahara ya Tanzania hata usipokunywa pombe haitoshi ndio maana inadaiwa wabongo wote ni wezi. Mhudumu wa ofisi anayo makochi ya nguvu, kideo, friji, nyumba yenye utata kwa macho, anasomesha private watoto wake na yeye anakula vizuri na familia yake lakini mshahara kima cha chini. Akili mukichwa yako, teh teh teh teh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom