I Miss you very much

Nami nawaombea nyote baraka na ulinzi wa Mungu...hata mfike mahali muangalie nyuma na kuona mahali Mungu amewafikisha zaidi ya mlivyofikiri mtafika pale wapendwa wenu walipowatoka.
Muone pamoja na majonzi na vizuizi mlivyopitia bado amewafikisha mlipo ndipo mtakapolihimidi na kuliita jina lake Eben-ezer yaani, "hata sasa Bwana ametusaidia." ( 1 Samuel 7:12)

Cc: King'asti, Smile, platozoom, Karucee, nameless girl sakapal et al...with love.
 
Last edited by a moderator:
pole sana naelewa kabisa jinsi ulivyo mmiss mama yako kumbuka si wewe tu ulie ondokewa na mama,kuna wengi na wengine wanafuata kama sio leo kesho

mimi niliondokewa na wazazi wangu alianza mama mwezi mmoja kabla machozi ayajakauka baba akafuata tena mbaya alinimbia mda si mrefu atamfuata mama nikae nikijua hivyo sababu awezi kuishi bila yeye

familia iliamini uzee na kumbukumbu za mama zilimfanya awe mnyonge mpaka kutamka mda si mrefu atasafiri..nilifungasha mizigo yangu na kuja ninapoishi
nilipotua nikawa naongea nae kwenye simu lakini siku moja aliniachia simu hewani na kuacha neno moja lililo kaa kichwani mwangu kwa mda mrefu sana
mwanangu mda umefika rudi nyumbani kwani mimi niko safarini toka kipindi kile siku sikia tena sauti yake zaidi ya ndugu na jamaa walipokuwa wanalia...........pain sito andika zaidi


poleni sana mliondokewa na wenu wa karibu muwe na subira nguvu na uvumilivu kifo kimeumbwa
 

Pole sana my dear. Unajua kuwa mkubwa is not thatfun. There is a lot of pain.
Stori ilikuwa yeye alikuwa anaumwa akaanza kulia. Na mimi nikakaa kitandani na kulia na yeye. We were very close kiukweli. He was my best friend. Namshukuru Mungu mdogo wangu aligeuka my best friend hadi leo. I cry when she cries. Angalia upendo uliokuzunguka na utaona bado Mungu anaendelea kuwa Mungu
 
ubarikiwe sana ndugu yangu.najiamini mimi nipo strong.ila kwa hili naona kama napoteza nguvu kila siku.kama leo nimelia ibada nzima cause leo ni siku ya uimbaji kwaya ya kina mama ilikuwa inaimba yaani i wish she was there.wamenikumbusha mbali sana.sijui hata nifanyeje tena.
 
thax darling
 
Muda unaponya majeraha yote. Weka kumbukumbu nzuri na endelea kummiss. Ukikutana na challenges basi make her proud. Pambana nayo kwa mbinu alizokufundisha.
still fighting........
 
Pole sana Nameless,I was 9 when my mum passed away,am 26 now na bado sijaacha kumlilia,ninapofanikisha kitu chochote natamani angekuwepo aone bt yote ni mipango ya Mwenyezi Mungu.R.I.P our Mama
 
My dad said "let me sleep" and he slept forever,my mother followed in less than two months.
Descanza en papa y mama.
😛ray2:
 
I daily remember her but i end up wishing all the best wherever she is....it was 2005 april friday night when her journey was over and she were to go by that late night....nothing else i did love like her but she was loved more by our Beloved Father in heaven. LET US ALL REMEMBER OUR MAMAS AND DEAR FELLOWS WHO HAS GONE BEFORE US
 
What a sad past...Poleni sana..I miss my wife..it has been three years now since she died..aah
 
Pole dear, May this song bring confort to you, by its self is ach a powerful prayer.
CC: platozoom, Karucee, BAK, nameless girl, King'asti,https://www.jamiiforums.com/member.php?u=20070 et al.

Cc:
 
Last edited by a moderator:
Inabidi mods waanzishe jukwaa maalumu for those who lost their loved one.
 
She is in better place now.
Kibinadamu kusahau ni ngumu mnoo asikwambie mtu.

Lakini twayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu-MUNGU.

Pole sana
 
thax darling
Aisee Smile u guys mmenifanya nimpigie mama yangu simu asubuhi yote hii mpaka ameshangaa....we should never take these moments for granted i see. Alafu kweli jana ilikuwa Kantate Domino ila mi nlitoroka saa tatu aisee...ooops!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…