nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
Mara ya mwisho kukuona, ulikua ukipanga vitu vyako vya kwenda navyo hospitali. Request yako ya mwisho kwangu, ni kuniomba nikakutengenezee matango. Uliyala matunda hayo kwa furaha na tabasamu. Kumbe lilikua tabasamu lako la mwisho mimi kuliona. Alafu ukaondoka bila kutuaga, nilielewa kuwa hukutaka kututia hofu, kwani ulidhani utarudi. Haikuwa ivyo. Ulienda moja kwa moja. Hukurudi tena.
Miaka 9 sasa imepita bila uwepo wako. Ni ngumu kuishi bila wewe lakini naamini siku zote uko pembeni yangu ukinisupport kwa yote niyafanyayo. Nimemic sana kuita mama, bt l cnt act calling mama while l wanna col you n not any other mamas.
l love u so much n l will always do.
Mic u mama.