I Miss you Husninyo

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Ukafanywa joka la kibisa
 
Wewe ๐Ÿค—๐Ÿค—

Aisee umejua kupotea
Lovely dad... kwanza nimekununia ... hivi ndio mabinti zako wote ulitususa namna hii au ni mimi peke yangu?๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’.... Hii kesi ni kubwa sana , labda uje na mashahidi wa siri ndio tutaimaliza... CC: Husninyo aione kwenye file
 
Siku zote nipo hapa hapa...

Wewe ndiye binti wa kwanza kuzaliwa lakini ukalikimbia boma hata nisijue umetowekea wapi binti yangu kipenzi...
 
Huyu ni member wa zamani humu Jf nimemmiss tu bhana hajaonekana hili ni jukwaa la mapenzi ,mahusiano na urafiki,kwahiyo siyo vibaya kumtag member ambaye humsomi na unamwelewa.
C.C Husninyo

Viol
Wahusika wanakuja mkuu
 
Siku zote nipo hapa hapa...

Wewe ndiye binti wa kwanza kuzaliwa lakini ukalikimbia boma hata nisijue umetowekea wapi binti yangu kipenzi...
Hahahahah... sasa nimerejea rasmi nyumbani baba kipenzi... natamani utukusanye mabinti zako wote kama zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ