mpenzi wangu mama kijacho
charminglady naona huku maisha yamekua magumu coz nakumiss mbaya.. nimesikia kuwa
Erickb52 kusikia nmesafiri kajileta, nitunzie penzi langu..maana sio kila kitu ni cha kushea..
niko huku nahangaika ili kijacho afurahie maisha...nakupenda sana lazizi, nakukosa sana tu