I miss you asprin

I miss you asprin

Never.Sitaki presha za bure.Ni bora nishabikie mtibwa sugar kuliko arsenal.......lol

Andika sehemu hii thn uje kunikumbusha "ARSENAL ITACHUKUA KOMBE LA LIGI YA UINGEREZA NA ITAKUA NAMBA MBILI LIGI YA MABINGWA ULAYA (UEFA)"
 
Andika sehemu hii thn uje kunikumbusha "ARSENAL ITACHUKUA KOMBE LA LIGI YA UINGEREZA NA ITAKUA NAMBA MBILI LIGI YA MABINGWA ULAYA (UEFA)"

Hahahaha ndoto za jioni hizi au haupo tz huko kwenu ni usiku unaota?Mwaka gani huo?
 

Attachments

  • 1415635977186.jpg
    1415635977186.jpg
    7.8 KB · Views: 229
I cant sleep because I have been thinking of you much.....I cant eat because all I do is think of you.... I cant concentrate because you are constantly on my mind..... I cant work because all I do is think of you.... I miss you so much it hurts..you have been running through my head all night... you have been on my mind I cant wait to see you again....I think of you night and day....I think about you all the time.....

I MISS YOU SO MUCH

CC. Mafikizolo Asprin my no one

Wito wako umefika,
Umefika bila shaka,
Mbele yako nimezuka,
Nakupenda kukwambia.

Ahsante kwa lako penzi,
Penzi lisilo na konzi,
Lanitoa uduwanzi,
Kwako ninafurahia.

Letu penzi tudumishe,
Tuache ya mishemishe,
Mahusuda watupishe,
Vyetu kujitafunia.

Nitakupenda daima,
Walahi sitalalama,
Mapenzi ya kujipima,
Katu sitakufanyia.

Haya mama njoo kwangu,
Nikajilie vyangu,
Wewe ndiwe huba wangu,
Ua langu maridhia.

Nakumisi mimi pia,
Upweke umenizukia,
Kila kitu ntaridhia,
Kwangu ukishaingia.
....

Hii ni kutoka kwangu mimi ODM wako,
Kaunta ya Juu
Boko Basihaya.
 
Cc babaafacebook a.k.a Asprin mzee wa totoozzz
Nishatia timu....

ahhha sawa ila natumai ujumbe wangu umemfikia
Umefika kama ulivyoutuma Mrs wangu.

Ooh yeah........
Shiiiiiiiiiiiii!!!!!

Asprin unaitwa huku umemisika
Nshafika mama....

Atakuja namsubiria kweli
sina jeuri ya kutokuja Mrs....

Babu Asprin ana kismat yani na uzee wake lakini anang'oa vyombo vya hatari
Shiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!

Mjukuu hata wewe????? Haya niambie ana chombo gani kingine zaidi yangu
Msamehe bure.

CC: Kaizer kwa kumbukumbu ya chama Mentor, KakaKiiza kwa taarifa na utekelezaji.
 
Last edited by a moderator:
Wito wako umefika,
Umefika bila shaka,
Mbele yako nimezuka,
Nakupenda kukwambia.

Ahsante kwa lako penzi,
Penzi lisilo na konzi,
Lanitoa uduwanzi,
Kwako ninafurahia.

Letu penzi tudumishe,
Tuache ya mishemishe,
Mahusuda watupishe,
Vyetu kujitafunia.

Nitakupenda daima,
Walahi sitalalama,
Mapenzi ya kujipima,
Katu sitakufanyia.

Haya mama njoo kwangu,
Nikajilie vyangu,
Wewe ndiwe huba wangu,
Ua langu maridhia.

Nakumisi mimi pia,
Upweke umenizukia,
Kila kitu ntaridhia,
Kwangu ukishaingia.
....

Hii ni kutoka kwangu mimi ODM wako,
Kaunta ya Juu
Boko Basihaya.

hahaha babu uko juuu unajua vina hatari
 
I cant sleep because I have been thinking of you much.....I cant eat because all I do is think of you.... I cant concentrate because you are constantly on my mind..... I cant work because all I do is think of you.... I miss you so much it hurts..you have been running through my head all night... you have been on my mind I cant wait to see you again....I think of you night and day....I think about you all the time.....

I MISS YOU SO MUCH

CC. Mafikizolo Asprin my no one

Genye hizo!! Mtakufa nazo.
 
Last edited by a moderator:
Wito wako umefika,
Umefika bila shaka,
Mbele yako nimezuka,
Nakupenda kukwambia.

Ahsante kwa lako penzi,
Penzi lisilo na konzi,
Lanitoa uduwanzi,
Kwako ninafurahia.

Letu penzi tudumishe,
Tuache ya mishemishe,
Mahusuda watupishe,
Vyetu kujitafunia.

Nitakupenda daima,
Walahi sitalalama,
Mapenzi ya kujipima,
Katu sitakufanyia.

Haya mama njoo kwangu,
Nikajilie vyangu,
Wewe ndiwe huba wangu,
Ua langu maridhia.

Nakumisi mimi pia,
Upweke umenizukia,
Kila kitu ntaridhia,
Kwangu ukishaingia.
....

Hii ni kutoka kwangu mimi ODM wako,
Kaunta ya Juu
Boko Basihaya.

Wow!!! Nakupenda mr...
 
Nishatia timu....

Umefika kama ulivyoutuma Mrs wangu.

Shiiiiiiiiiiiii!!!!!

Nshafika mama....

sina jeuri ya kutokuja Mrs....

Shiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!


Msamehe bure.

CC: Kaizer kwa kumbukumbu ya chama Mentor, KakaKiiza kwa taarifa na utekelezaji.

Ahhha nishamsamehe mr toka zamani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom