I miss u gfsonwin

Nilipata nyepesi nyepesi kuwa anapiga buku, kama hizi taarifa ni za kweli basi tumuombee amalize salama na kufaulu ili amudu kulitumikia Taifa kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vya baadaye....

CC: cacico, snowhite, Fixed Point

kupiga buku sio factor ya kukosa hata nusu saa ya kuhudhuria jf..

mbona google mnasearch material bana!

facebook na badoo mna log in kwa sana...

labda useme tu ana lingine..!

by the way, gfsonwin ndo nilikuwa naanza kumfaham na ile avatar yake.. mmh! ilikuwa romantic kweli!
 
Last edited by a moderator:
Dingi haeleweki huyu. Siku hizi kawa bazazi ile mbaya. Hadi jukwaa la zambi anapost.

Ukiona hivyo mshukuru Mungu ujue dingi yako bado wamo na bado ana maisha marefu mbeleni..
 
Mtani kwani nawe huo uthiku ulikuwa wafanya nn huko?

Unapigia jibu mstari au ni "rhetoric", Was in business as usual... It takes a thief to catch a thief siku hizi.. (Kwa hisani ya watu wa Lumo)
 
Heheh mi nauliza tu...

Unapigia jibu mstari au ni "rhetoric", Was in business as usual... It takes a thief to catch a thief siku hizi.. (Kwa hisani ya watu wa Lumo)
 
Unapigia jibu mstari au ni "rhetoric", Was in business as usual... It takes a thief to catch a thief siku hizi.. (Kwa hisani ya watu wa Lumo)

ahahaha mi nilikuwa polithi bana.huyu mwizi ndo alikuwa anakwapua!
 
asante Mtambuzi kwa taarifa, hata mimi nimehisi hivyo ya kuwa atakuwa huko kwenye kujiendeleza,
 
Last edited by a moderator:
Herini ya mwaka mpya wooooooooooooooteeeeeeeeeeee!!!

mie nipo sana tu ila this time nimeamua kujizika mwenyewe, baada ya kuchagua mitala tena iliyo rasmi, huku nataka kule nataka................ Zinduna malizia hapo.
ngojeni kwanza bwana nliye mpata nimudu kumhudumia then i will come back to you..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…