Nilipata nyepesi nyepesi kuwa anapiga buku, kama hizi taarifa ni za kweli basi tumuombee amalize salama na kufaulu ili amudu kulitumikia Taifa kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vya baadaye....
CC: cacico, snowhite, Fixed Point
kila lililo la kheri kwa mwal wangu!!Nilipata nyepesi nyepesi kuwa anapiga buku, kama hizi taarifa ni za kweli basi tumuombee amalize salama na kufaulu ili amudu kulitumikia Taifa kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vya baadaye....
CC: cacico, snowhite, Fixed Point
Ushaanza fitina zako......
Hata Mimi nime miss sana mpalestina mwenzangu yule
Hata Mimi nime miss sana mpalestina mwenzangu yule
Ushaanza fitina zako......
Kwani hujui kwamba gfsonwin ni shangazi yenu, anazaliwa na mama angu mdogo binamu yake baba, ambaye aliolewaga huko West Kilimanjaro miaka ya 70 kabla Iddi Amini hajapindua nchi huko Uganda
He he he, usinambie mdingi ako ni private ditecta.
Ushaanza fitina zako......
Kwani hujui kwamba gfsonwin ni shangazi yenu, anazaliwa na mama angu mdogo binamu yake baba, ambaye aliolewaga huko West Kilimanjaro miaka ya 70 kabla Iddi Amini hajapindua nchi huko Uganda
huyu mzee mi hata simwelewi!!He he he, usinambie mdingi ako ni private ditecta.
Dingi haeleweki huyu. Siku hizi kawa bazazi ile mbaya. Hadi jukwaa la zambi anapost.
Hata Mimi nime miss sana mpalestina mwenzangu yule