I miss my ex man so much jamani

Kwa kusifiwa huko ndoa yako utaiheshimu kweli


What goes around always comes around
 
Kuna ka pepo flani ka kutojielewa kana kunyemelea.

Umejoin leo leo.

Tayari una mume umempata JF.

Na tayari una una EX unaemmisi.

Ptuuuh.
Hakuna cha ka pepo au nini,huu ni utoto tu wa watoto wa JF wa siku hizi.....

Wanachukulia kama hapa ni mahali pa ujinga na mizaha mizaha.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bad enough...

Huyu mleta uzi ana uzi mwingine wa kupata Bwana humu humu jf...

Ila sio mbaya kaingia jf jana! Ugeni nao ni shida pia..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimepitia profile ulijoin 2015 mimi mwenzako nilijoin 2010 nikaanza kutafuta mume 2003 nimempata x akazingua mwaka huu nimempata tena mtwana tar 28 anatoa mahali so chini I milion 5 maana hela anayo chafu
 
Bad enough...

Huyu mleta uzi ana uzi mwingine wa kupata Bwana humu humu jf...

Ila sio mbaya kaingia jf jana! Ugeni nao ni shida pia..
huy mzoef mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
kwa hyo mr E alikukuna vzur akakufkisha kilelen na mbotswana akionana je

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Honey I know kuna mambo nilikuudhi mengi sana naomba nisamehe kuna vitu nilisema maybe hukutegemea kama ningesema nisamehe mpenzi x...WW SI ULISEMA NINA KIBAMIA SASA LEO NN ET.......
 
[emoji3][emoji28][emoji28][emoji28] haya bana eti kileleni
 
Bomu ...ndukii

What goes around always comes around
 
Wanawake bwana akili zao wanazijua wenyewe.....Kuna demu mmoja napiga naye kaz yy harus yake mwishoni mwa mwez huu ....Ninavyoandika hapa ametoka geton kwangu mda c mrefu NA haipit siku mbili bila kutia timu ....Sasa nawaza nn kilimfanya akubali kuolewa huku hajamaliza ujana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namuonea huruma sana huyo Mbotswana ndio basi tena pesa zinampeleka kuzimu bila kujijua.
 
Hawa ndio wanawake wa kiafrica hawajui kumove on namwonea huruma sana hyo mbots huyu akikutana na huyo X wake lazima atoe unyevu tu sijutii maamuzi yang ya kuwadharau wanawake wa JF
Unaweza kuwadharau humu lakini ukawaheshimu sana mtaani
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Umu kuna watu wa kila aina hatufanani
 
''if i could turn back the hands of time then my darling you still be mine''[emoji24][emoji24][emoji24]~R.Kelly
 
Honey I know kuna mambo nilikuudhi mengi sana naomba nisamehe kuna vitu nilisema maybe hukutegemea kama ningesema nisamehe mpenzi x...WW SI ULISEMA NINA KIBAMIA SASA LEO NN ET.......
[emoji23] hebu msinichekeshe mimi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…