I miss my ex man so much jamani

Huu pia ni ukweli mchungu, wewe umeweka wazi tu lakini nafikiri baadhi ya wanawake wanafanya hivyo. Kuna jamaa yangu alitafutwa na X wake wiki moja kabla hajaolewa. Ujumbe aliopewa ni kama huu wako japo wewe umeongeza manjonjo.
 
Kuna ka pepo flani ka kutojielewa kana kunyemelea.

Umejoin leo leo.

Tayari una mume umempata JF.

Na tayari una una EX unaemmisi.

Ptuuuh.
haahhaaha humjui..
huyu ni member mkongwe humu ana zaidi ya miaka mitano..
mambo ya fake na new id apate ujasiri wa kuandika haya..
akimsliza anarud ikwenye id yake tulioizoea.
 
Sasa mbn muda wote hujanitafuta jma!! Nitafute bn tukumbushane mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa style hizi kwel ngoja nisugue benchi kwanza unaweza pata jeraha la hatari ila naamini kocha awezi kumuacha mtu salama
 
Reactions: SDG
aiseee mbotswana hapewi punye hadi mahari kwanza, ila jamaa anaombwa akaichakaze bureeee

haya mambo nilisha shindwa mwezi ujatoa punye, kafie mbele....yaani kwangu usitoe mpaka harusi alafu kuna jamaaa anaombwa akaipige duuuh
 
Pole sana.
Fanya mchakato uwe hata mke wa pili kwa x wako
 
Huu mtandao umekuwa wa malaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujue wengi humu majina yetu yanaanzia na E.. umeniogopesha.

BTW, muda sio mrefu nilisoma uzi umepata shemeji tena ukampamba kinoma.

Sasa si unamrusha roho bibie na kumjaza kihoro huyo kijana wa watu uliyempata?
Mbotwasana huyo kafa kaoza kwangu hata akiona najua jinsi ya kumtuliza istoshe I doubt kama ataona si mtumiaji mzuri wa jf

Sent from Samsung A8 using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…