I made 30$ per day na google adsense

I made 30$ per day na google adsense

Mkuu Sam samahani Sana kwa maswali mengi hii kitu mi nataka kuifanya full time job, kwa hyo umesema ili uweze kuapply adsense blog inapaswa kuwa na muda gani?? Kwa upande WA website unaweza kuomba adsense hta km Ina muda mfupi? Hlf je blog na website unalipia hela kila mwezi au Ni free

Isiwe chn ya miez sita alaf iwe na post zote ni kingereza alaf iwe hakuna videos,animation,na picha kwa wing ziwe hbr za maelezo kwa sana pia privacy policy na about us page ziwepo kwenye blog yako
 
mkuu vp khs suala la kulipia blog au website kuna malipo yoyote ya mwezi?
 
Malipo kwa blogger hakuna, labda ukihitaji kuweka domain hii ndio utayolipia kwa mwaka. Lakini kwa upande wa website malipo yapo kwenye hosting na domain pia.

Faida ya kutumia website badala ya blog kwa watumiaji wa adsense ina kuja kwenye reporting. Nadhani hii kwa watumiaji wa muda mrefu wanalifahamu.

Mkuu Donn ni kweli una apply kwenye site ya kiingereza as primary baadae una hamishia kwenye site ya kiswahil,lugha huwa sio ttz ni mashart ndo 2nakoseah hapa jf nimewah kuona adsense mara mojah huwa naona pinpoint lakin huwa zinakuwa kama kwenye mfumo alteration saa zinatokea saa hzitoke

Cc Donn nakusalimu bos
Unadhani ni kwanini una apply kwenye site ya kiingereza endapo kiswahili kinakubalika? Moja wapo ya uvunjaji wa sheria za adsense ni huo. List ya lugha supported ni hii nimeitoa hapa chini.

https://support.google.com/adsense/answer/9727?hl=en

"Please also be aware that placing the AdSense code on pages with content primarily in an unsupported language is not permitted by the AdSense program policies."
 
Mkuu naomba kukuuliza swali je ushawahi kuwacheat google kwa kuclick kwa kutumia kompyuta tofaut

inawezekana na ukapata pesa kama kawaida ila usijaribu ku log in na moja ya hzo computer ulizo click ads zako kweny account yako ya adsense coz asilimia ya kufungiwa no 95%
 
Malipo kwa blogger hakuna, labda ukihitaji kuweka domain hii ndio utayolipia kwa mwaka. Lakini kwa upande wa website malipo yapo kwenye hosting na domain pia.

Faida ya kutumia website badala ya blog kwa watumiaji wa adsense ina kuja kwenye reporting. Nadhani hii kwa watumiaji wa muda mrefu wanalifahamu.

Unadhani ni kwanini una apply kwenye site ya kiingereza endapo kiswahili kinakubalika? Moja wapo ya uvunjaji wa sheria za adsense ni huo. List ya lugha supported ni hii nimeitoa hapa chini.

https://support.google.com/adsense/answer/9727?hl=en

"Please also be aware that placing the AdSense code on pages with content primarily in an unsupported language is not permitted by the AdSense program policies."

Ni kwel kbs mkuu Donn ila huwa najishanga kuna watu huu ni mwaka wa 5 mpk wa 6 hawafungiwi wanaenjoy na pesa zao zinakuja vzr na tena wanakula huge amount mfano mpekuzi,nadhan miaka 2 mitatu nyuma utakuwa unakumbuka post zake zilivyo kuwa shda hakuna picha za porn zilizokuwa zikivuja ukaz kosa kwake ana adsence alikuwa nayo nimemsema huyu kwakuwa ni mfano
 
Last edited by a moderator:

Huwa sitembelei blog ya mpekuzi, lakini kila mtu na bahati yake. Pia inaweza kuwa ni ads za kutoka directly kwa Advertiser kama ilivyo kwa matangazo ya voda unayoona JF.
 
Jf anatumia pin point mpekuz nae pinpoint mkuu
Pin point ukijiunga nao matangazo yao wanakulimit hakuna kuweka matangazo mengne ya kampun ila wao 2 labda na adsense kama unayo mkuu mashart yao ni magumu kdg hii ni kwa mujibu wa watu waliowah kuomb wakapewa option hyo wakaona hailipi wakaachana nao
 
Angalia nilipo zungushia duara Screenshot_2.png
 
Hii kitu nilowahi kuelekezwa lakini sikuelewa hata kidogo na bado sijaelewa mie naona watu wana-click matangazo tuu lakini sielewi....
 
Soma post za nyuma kwenye huu uzi ucpoelewa wataalamu wapo watakuelekezah
 
Back
Top Bottom