I`m looking for a used car engine!

rajoh

Senior Member
Jun 2, 2011
174
142
Wadau nina gari aina ya Renault. Natafuta engine ya Gari ndogo aina ya Toyota yenye cc around 1500. Mafundi wameniambia inawezekana kufanya modification na kuiweka gari katika hali ya kawaida. Tafadhali mwenye nayo ani PM.
 
Nenda Maeneo ya Gerezani Utapata za Wizi Kibao Pesa yako tu
 
Back
Top Bottom