I love you Karucee

I love you Karucee

Inatuhusu nini??

yani we ni mjinga khaa aisee,hivi umeitwa,kama haikuhusu kiherehere cha nini sasa,au unapunguza fungus za vidole na keyboard,halafu semea nafsi yako sio'inatu'..We na nani labda..Acha kuwa na akili za mbwa kama ID yako sawa woow woow teh teh
 
yeaaaaaah

mkuu hata kama ni ugumu.. not this much..

halafu na wewe edit kidogo ingredients za thread, huwezi kutongoza manzi huku unamponda aisee!

mpake mafuta mkuu..
 
mkuu hata kama ni ugumu.. not this much..

halafu na wewe edit kidogo ingredients za thread, huwezi kutongoza manzi huku unamponda aisee!

mpake mafuta mkuu..

mkuu mi sioi hapo nataka nitaste vanilla ya supermarket nyingine
 
mkuu mi sioi hapo nataka nitaste vanilla ya supermarket nyingine

kwa huyu demu? jipange kwanza, lugha ndo kitu cha kwanza kabisa kumkamata manzi yeyote duniani...

learn what she is, be her for some strategic reasons! lol..

hit n run eenh? kazi ni kwako!
 
kwa huyu demu? jipange kwanza, lugha ndo kitu cha kwanza kabisa kumkamata manzi yeyote duniani...

learn what she is, be her for some strategic reasons! lol..

hit n run eenh? kazi ni kwako!

ulichosema hood kwangu ni propaganda sio fact,human brain can be confused ,she is just a lady dats all
 
Back
Top Bottom