Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
Mkuu kuna muda wa kuchat na kuongea na hao unaowaita friends wa kike
Huwezi kusema mkeo avumilie unaongea na friends wako au watu wa kazini kwako saa nne au tano za usiku
Wanatafuta nini kwako muda huo au mnaongelea nini cha kazini au darasani saa tano za usiku
Jipange namna ya kuwaambia hao watu wako muda wanaopaswa kuongea na wewe masuala ya kazini au darasani na upate nafasi ya kukaa na mkeo muongee issue za maisha. Mkeo naona anaona humpi nafasi ya kukaa na wewe na kuongea na wewe na hao unaowaita friends umewapa nafasi kubwa sana kuliko mkeo na lazima awe na wasi wasi
Kama kuna kitu nachukia duniani ni hicho mkuu wewe ni mume wa mtu kujifanya eti ana urafiki na maledies na kusema eti ni friends tu
kuwa natural
kuwa mwanaumme
ushauri murua kabisa hasa kama mnawasiliana at odd hours
khe nawewe mambo ya kizamani
kwani hao ladiesa friend hawajui kama umeoa , inaonekana humpiattention mkeo kisa hao ndio maana mnagombana
chakufanya acha mawasiliano nao kwan kam ni mambo ya shule si mkongee shule na kaz kazin unless its emergence issue i.e kesho no class au kikazi zile doc zikowapi siyo kila saa creeee creeeeee si sawa kabisa
wewe upo commited na unatakiwa u bahave urself
1.Chagua moja hao marafiki wa kike au mkeo.......sina shaka unachagua mke.
2. Jitambue kuwa sasa una mke,hao mabinti wa nini tena kuchati nao??
3. Kama namna gani vipi badilisha namba ya SIMU.
4. Mimi naona wewe ndo una tatizo shem walaaa hata tatizo.Ebu tafakari,: kama huyo mkeo angekuwa close na majamaa kibao,job,college nk. na kila dak tano simu inaingia UNGEFURAHI???
5.Wenziio tukiwa na shemeji zako tunaswiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiich off kabisaaaaaaaaa. Akipiga mtu yeyote ''......not reachable...''
Mkuu kuna muda wa kuchat na kuongea na hao unaowaita friends wa kike
Huwezi kusema mkeo avumilie unaongea na friends wako au watu wa kazini kwako saa nne au tano za usiku
Wanatafuta nini kwako muda huo au mnaongelea nini cha kazini au darasani saa tano za usiku
Jipange namna ya kuwaambia hao watu wako muda wanaopaswa kuongea na wewe masuala ya kazini au darasani na upate nafasi ya kukaa na mkeo muongee issue za maisha. Mkeo naona anaona humpi nafasi ya kukaa na wewe na kuongea na wewe na hao unaowaita friends umewapa nafasi kubwa sana kuliko mkeo na lazima awe na wasi wasi
Duh hivi it reach a step maisha yanakuwa hivi? Ndoa ndoanoMkuu naona jamaa hajui thamani ya mke aliyemuoa
Mwache aendelee kuchat na ladies wa ofisini matokeo yake atayaona
Kuna siku atamkuta mkewe anachat na jamaa vile vile wa ofisini kwake na anamwita sweet niko home na hili LIJAMAA ndo atakaposhtuka
Asume mkeo anapigiwa na vidume kila mda utafurah?
Nisingependa kuongeza chochote, kwani umemaliza kila kitu.................Mkuu Mundumula, ushauri wa Mr. Rocky umesimama....