That's what I did to my old hoe
Kilijipa thamani ambayo hakina kikajiona ni princess kwenye kasri ya kifalme basi akajiona cake
Nami kwakua sikua na time ya kubembeleza nikamkaushia, hakuamini mpaka pale alipotuma meseji akiuliza kama nilishawahi kupoteza simu.
Alihisi pengine ule ukimya ulitokana na mimi kupoteza namba yake kumbe nimeamua tu kumlia buyu