Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,612
AiseeUsitongoze
Mkaribishe nyumbani weekend kuangalia movie/watch football...
Usiwe na haraka...
Chagua movie zenye matukio flani...
Nunua vyakula kbs mtapika ama mtapasha...
Akiwa kashazoea mazingira kiss her...
Ulete mrejesho...
Nice ideas........ingawa only u talk sabb sio la kwako...unaliona rahissi uvikaushie!!! unamuendekeza....
mimi ndio ningekua wewe ningemwandikia msg moja tu, "njoo nikutoooo kama haujisikii basi usicheze na hisia zangu, sipo interested".
sasa nawe akikutumia kimsg hadi mishipa ya kwenye moyo inashtuka
Ishiiiy mpost status au muweke profile wasap uone kama hatoonaMazingira ambayo nipo haweza kujua hata nikiwa na another girl
hapana sio hivo kwamba kwakua sio mimi, mie hiyo tabia siipendi ni kuchezea tu hisia za mtu, kama anakupenda ujue moja kama hakupendi bas ajikatae....Nice ideas........ingawa only u talk sabb sio la kwako...unaliona rahis
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ishiiiy mpost status au muweke profile wasap uone kama hatoona
You should grow upTell me guys what should i do ........plzz.....
Thankss ....dearFanya mambo yako kama anakutaka atarudi tu. Mpotezee
Moral lesson ni ipi?Just Ignore her. Jikute uko bize kama 007, you want to save the world and blah blah.. halafu tafuta hata msela wako wa kike akupe visits za kutosha. She will fall back in line!
Akili mtu wangu!
Una maana gani mkuu?
Nipunguze au nikatishe kabisapunguza attention kwake afu ukimuona msifie/kumuongelea/kumpost ke mwingine uone game itaishaje
Tell me about it...Aisee
ukikatisha unaunyima haki moyo wako unless humtaki tenaNipunguze au nikatishe kabisa
Hajawa keen, Hivyo aachane nayo!Moral lesson ni ipi?
Hahaha....duh asa nifanyeje...cause yy hanitafti nikisema nimtext tena si yale yale atazidisha dharauukikatisha unaunyima haki moyo wako unless humtaki tena
Haha ukwel ganimkikua mtaambiana ukweli!!!