Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,111
Kwangu ni weekend nzuri sana. nimeitamani.
shikamoo mama
Kwangu ni weekend nzuri sana. nimeitamani.
Asante kwa ushauri wako. Najua Heaven on earth ni rafiki yako. MiaAisee hii mambo tupa kuleee we endelea na mkeo.mia
Baadae ukiwa na nafasi nipigie. Nina stori mpya. MiaMekumiss pia shem.mia
shikamoo mama
Madadiito na Mashostito. Kama mlikua hamumjui figganigga Leo nimewaletea Picha yake ya ijumaa iliyopita.
Nilikua naye alipo lala nikamuacha solemba. Kijana alikunywa kilimanjaro tatu hoi. Nikahisi alikua anachanganya na viroba akijua atanikomoa.
Ha ha ha ha ha ikala kwake mazima.
![]()
Hizo shikamoo za hapa ukumbini nzito kweli kujibika;
Ungesema tu ......... how are u mam.......