so u want us to discuss about ourselves!!? Very narrow mind.[/QUOT we mbona umenisema mimi? Then you are narrow mainded person then. Anyway my idea is kwa mtu wa kawaida huwezi kukaa siku nzima talking about ideas tu. Utaongelea matukio utawasema na wenzako kama ulivofanya hapa. Na vilevile utajipigia pande oooh nisingekuwa mimi, mimi nimefanya hiki na hiki, n.k