Nakumbuka nilipokuwa university nilikuwa na demu anayesmoke cigarette na kaya!
Halafu mimi nilikuwa drug addicted!
Aliponiambia ameshika mimba yangu hakyanani sikukubali kuona mtoto akizaliwa......................
(God forgive me):sleepy:
Bora hizi.......unakuwa na mawazo mbali mbali........na ni dawa ya kichwa.......
Aisee sivuti picha mkiwa chumban kwenu patakuwa kama tanuli la tumbaku.USELA MAVI HAUJENGI FAMILIA IMARA.
Hata mi huwa nawatafuta sana hao ebu kama wapo wanipmSijui kwa nini lakini kitendo cha yeye anavuta na mi na vuta , kitendo cha yeye kuniwashia emmbasy na mimi kumuwashia, kitendo cha kuombana pafu hulu bia ipo kwenye glass zetu.Na kitendo cha kuwa huru huku wahudumu na wateja wakitoa macho kina ongeza relaxation, ni nyakati hadimu sana.