Nimekuja mbio nikidhani nitakutana na wadau kumbe huyu mke wa The Late. Shiiit...
Mkuu Mwili Nyumba huyu jamaa anatuwekea wajane hapa, anafikiri kuna watu wanatafuta wajane hapa.Mkuu sio wewe peke yako hata mimi nilifikiri tunaendelea na sherehe ya kuwabanjua Mashetani jana kumbe duh!!