I have to do...ila isiwe Arusha

Nilikua naskia tu kwamba kuna wanawake vicheche ila sijapata ona wala sikia! Maria you have a beauty name, jitunze tu hutakufa pls, halafu inaonekana tayari kuna mtu!
sitakufa ila cha moto nakiona
usiku sipati usingizi nabaki kusinzia ofisini
 
hutakiwi kumuwazia mabaya mpenzi wako. Ukihisi kusalitiwa utapunguza uaminifu hatimaye wewe ndio utaanza usaliti wakati mwenzio hana hayo mawazo. Halafu magonjwa mengi siku hizi (hapa nimeongea serious kabisa)
hapo red ndipo panaponitatiza naogopa nisije ugua
 

sorry maria 1047,am just curious to know this,are you martina of other kind?
 
Go girl, jipe kitu roho inapenda! Ila usisahau condom na dawa just in case mmekuwa rough kidogo!

Wakaka vipi? Mbona waoga hivyo, au ndio kupenda kuwa kwenye leading position!
thanks!!!!!!!!!1
u r my braza from another maza
 
Hili ni fundisho kwa wale wote wanajidai wanapenda sana, kumbe mademu wenyewe mdebwedo kabisa hapo unaweza kukuta jamaa haimbiwi kitu kwa huyu demu tena bora ingekuwa siri duh.
nakuapia sijawai toka njee ya mahusiano
hapa tatizo ni kutokuwepo kwa jamaa kunakoninyima usingizi
 
Lkn Hussy, sasa mwenzio afanyaje na mwili wahitaji? Kuhusu magonjwa si kuna kinga! Tena huoni ameenda extra mile ya kuprotect dignity ya mchumba wake kwa kutafuta a total stranger ambaye he is just a sex machine!
be blessed
sitaki kumdhalilisha mtaan
 
hukunisoma
niliposema mtu awe wa mbali na sio arusha nililenga kuprotect diginity ya mchumba wangu
kwani mtaani kwetu hamna wakaka na mbona sijawapendekeza kama naweza lala na hboy????????
 
Kuna mdada anafanya kazi barrick kahama yaan huja Arusha kudoo ila aliapa hatadoo na mtu wa kahama au mwanza

Si kila linalofit kwa mwenzako basi na kwako linafit pia. Chunga sana kuiga ya wenzako mwisho wa siku utajikuta unaharibikiwa mwenyewe wakati wenzako wanapeta!! Kwani ukiwa na mihemko ndo unashindwa kujicontrol?? (hata sayansi ya shule ya msingi inafundisha hili). Kuachiwa gari haimaanishi uitimie vibaya adi utake kumsaliti mwenzio jamani we dada!
 
nitafute ntakupa vitu roho inataka. ntasitisha shughuli zote kwa ajili yako mpaka atakaporudi jamaa yako na utapata huduma at least QID.
 
kama unalipa na mshiko pia kakuachia fanya tuonane!usiwe umeoza meno lakini na uwe unanukia na unaenda na wakati
 
sorry maria 1047,am just curious to know this,are you martina of other kind?
hapo red: yes offcourse
she is my blood sister from another mother so tunawaza vya kufanana.Marytina anaweza kuvaa viatu vyangu popote pale na atafanya kama Maria
 
mwili una mahitaji mengi na kama tukitaka kutimizia kila hitaji tubaka hadi mende.
Anashindwa nini kuvumilia kwa kipindi hicho na jamaa wa watu kashaonesha anamjali!
Halafu mapenzi hayajaribiwi ati. Tena hao mastrangers ndio wa kuwaogopa kama ukoma.

Good! Tamaa ya mwili itamuweka matatani!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…