I have Fall in Love With JF Man....

I have Fall in Love With JF Man....

nimeacha kusoma ghafla nilipoona ' i have fall.....'
 
Jamanii, mbona mnamnanga swahiba wangu Nyani kuwa ndo Dadii ilhali nilishaweka wazi kwenye uzi kuwa huyo sie..??

Dadii wa Kasie hana makeke kama Ngabu wala hana English kama ya Ngabu. Kwanza ID yake haina michango mingi yeye ni kusoma tuu hanaga za kuchangia nyuzi.

Halafu alijiunga JF mwaka 2011, sasa Ngabu yuko humu tangu 2009 kama sikosei.

Ngabu ni swahiba wangu tuu kama ilivyo kwababu Asipiro Asprin

Ukimkuta Kasie na mmoja wa hao wazee, hata utufungie chumba kimoja usiku mzima, asubuhi utatukuta tuko vilevile kama ulivyotuacha sanasana tutakuwa tumelewa pomoni na chimpumu heheheheee.

Uzi unaofuata baada ya huu ntamuweka Dadii wangu ili muache kuhisi watu humu kuwa ndio Dadii.

Kasinde.
Huwa nashangaa kwanini watu wanahisi Dadii wako ni komredi Nyani Ngabu na wala sio mimi...

Ngoja nifanye utafiti na upelelezi wa kiintelijinsia
 
Huwa nashangaa kwanini watu wanahisi Dadii wako ni komredi Nyani Ngabu na wala sio mimi...

Ngoja nifanye utafiti na upelelezi wa kiintelijinsia


Yaani bora umekuja Big Sam, japo kwenye ule uzi tuliweka bayana kuwa Big Sam na Kasie hawana madhara hata tukicheza charanga.....

Unaonaje wewe ndo uwe Dadii, tufanye kolabo moja takatifu ili tukizima tufufuke na masiah siku ya pasaka.

Babu na wewe si bora uni intelejinsie mimi nisichepuke ili tugandane vizuri heheheheheheh

Ujue sikukuu inayokuja ni pasaka, tuanze tuu maandalizi maana ufukwe wa kigamboni au Bagamoyo lazima uhusike.

Labda kama utanyimwa ruhusa na bibi ya kuwa Dadii.

Halafu nimekumiss, baada ya kukuona hapa nimepata hamu ya kula mishkaki ya pweza.....😋😋😋

K’ Matata.
 
Aliyekwambia sijatubu nani?? na hata nikikwambia nimetubu tayari utaniamini??!!

Umri wangu ni 49 mwakani 2020 ntakuwa na 50, kuanzia hapo hautaongezeka tena ntabakia hapohapo.

Wajukuu wanamahabika na wajukuu wenzao, mie kigagula namahabika na vigagula vya kiume....

Kuna tatizo..??
Shikamoo bibi kama umetubu embu kuwa serious na toba yako sasa. Kuhangaika kote huko na milage huko chini sijui inasoma ngapi maana vigagula wa kiume wanataka watoto wa bichi (by the way i'm just joking maana radhi za vikongwe kama wewe naziogopa)
 
Shikamoo bibi kama umetubu embu kuwa serious na toba yako sasa. Kuhangaika kote huko na milage huko chini sijui inasoma ngapi maana vigagula wa kiume wanataka watoto wa bichi (by the way i'm just joking maana radhi za vikongwe kama wewe naziogopa)

You go and mingling with didii she is your size and type.
 
Am still a golden digger I have never done that fucking sheet lmo lol. I respect my self take care about those cancer virus among 136 one of these you might be victim 100% HIV, GOD BLESS MY ROOM.

Sent using Jamii Forums mobile app

Don't leave your shit unattended, the button behind you is for flush, just press it.
 
Back
Top Bottom