Ni kweli inauma,lakini ukichelewa muda basi utakuacha na huwezi kuukamata. Ni wakati wako wa kumrudia mungu sana, yéyé pekee anao uwezo wa kukurejeshea miaka uliyopoteza,Uwe makini kujifunza kwake na kujua jinsi ya kufanya mambo na mafanikio yote utarudishiwa ,itakuwa sawa na kukurudishia miaka uliopoteza. Yoeli 2:25 Nami nitawarudishieni miaka ilioliwa na nzige,na madumadu,na tunutu. Amini hili ninalokwambia mungu hurejesha miaka. Anza kumuomba mungu akurudishie miaka yako iliopotea
Una uwezo wa kujitambua na kulog in JF.
YOU ARE SUCCESSFUL ALREADY. WORK ON YOUR WEAKNESSES.
, He who knows he knows not'' is clever
, He who knows not he knows not'' is a fool a.k.a lusungo
mbona mi naona analysis yako hapo juu ni SWOT tayari? labda kama umepost kunogesha baraza humu jamvini....
Inawezekana Una ADHD
Sijazaliwa miaka mingi ilopita, Lakin jana jioni nilipokuwa nimekaa nje ya nyumba yetu, mida ya saa Tano, katika kutafakar kwangu juu ya Maisha yangu, Nimegundua kuwa Sijakamilisha chochote, yaani, i have Accomplished Nothing.
Nikiitizama Elimu yangu, Nimemaliza form six na division three, Nilisoma HGE na History nilipata C, Geography- F, Economics- C. Nilichaguliwa Ualimu Chuo kipya cha Tabora, lakin kutokana na sababu za kiuchumi, sikuweza kwenda, Badala yake nikaenda kuwa Volunteer katika taasisi moja kubwa ya Afya, inayomilikiwa na wahindi.
I wanted to be the best in everything i do, but i always end up the worst, if not the Least. I once said i wanted to be a Professor, kwa sababu ninae Mjomba wangu, ambae ni Professor pale chuo cha Mlimani, na anaishi maisha mazuri mpaka ametusahau wapwa wake.
Niliwah kufanya RAP MUSIC, miaka ya Nyuma, lakin sikutoka. Nikaingia kwenye Maigizo, lakin pia sikitoka.
Nikitizama navyoishi, najiona kama Mfa Maji, natapa tapa tuu, Naweka Muongozo Usiku, Asubuh napangua napanga mengine.
Kiufupi, Naona kama nasindikiza watu, Nilikuwa wa kwanza kufungua Account, in comparison to my friends, lakin leo hii, nina salio dogo kuliko hata wale niliotangulia kufungua account.
Nilikuwa wa kwanza kupata kazi, kabla ya Marafiki zangu, lakin sasa wao wana maendeleo Makubwa kuliko mm.
Mpaka sasa nimeshindwa kuishi maisha ya kujitegemea, japo nina kazi, Naogopa nikitoka nyumbani, naweza shindwa mudu gharama za kupanga. Nina Ujinga mwingi kichwani, najiuliza ni vipi nitautua huu Ujinga?
I dream Success, i pray i become successful, but ukicheki navyo ishi, I Live Failure' Sina nachojivunia ktk Maisha haya, Maana mpaka sasa, sijaweza ishi, hata theluthi ya Maisha ninayoyataka.
What's wrong with me? Nakosea wapi? What am i Lacking? What needs to be done in me, to Transform my Life from Failure to Success?
If i was your brother, Ungenishauri nifanye nn?[/QUOTE
Nimekua nikifuatilia sana threads zako mbona naona kama unajikanganya ivi ile threads ya mapenzi mapenzi jamani uliandika ya kwamba ulikua unafanya mitihani ya bodi ya procurement na umesomea procurement iweje leo useme umesomea ualimu?
Mkuu, hebu kuwa makin, rudia kusoma tena, utagundua hakuna nilipojikanyaga, thread hii sijasema lolote kuhusu course za procurement, course za procurement nilianza baada ya kushindwa kwenda chuo, n nafanya mitihani, may na november, nipo professional level two, last sitting lishikwa hesabu, narudia November, nilianza board mapema niki aim kuwah kumaliza kabla ya wenzangu walioenda chuo, lakin wao wamemaliza mm bado nipo P2. Mkuu, ukiona nimepost jambo, trust me, situngi, ni kitu kimenitokea, mara zote napo post, target ni kupata solutionz ambazo najua, hata wengine wenye matatizo kama yangu watapata msaada, hapa ni kuwa kama nitashindwa kuyafikia malengo yangu kimaisha, basi kwa threats hizi mnaOtoa ushauri, wenzangu wenye matatizo kama yangu wapate solutionz, wakat huo na mm najifunza. Sianzish thread ili tuu mchangie, naanzisha ili nipate mawazo mbadala, nichanganye na yangu nione mlango upi natokea, i do this becouse, sina mshauri wa karibu zaidi ya Jf.
My weaknesses are worse,
Hasira za haraka, Pupa, Kujistukia, Poor financial Control, Poor Planner, sina Persistence, Ukiniuliza nataka kuwa nani, au kufanya nn? Nitakuambia, I want to be successful, Sina starting Point, Nashindwa kuplan, nadhan nahitaj mazoez ili kujenga uwezo mzuri wa ku plan, Kila siku am on a treadmill, every day again and again returning on the point of departure, kila siku mimi ni wa kuanza Moja, lini nitafika hatua ya Pili, tatu na kuendelea? Kuna kitu sina, nakitafuta ili niishi maisha niyapendayo.
HUyu mwanzoni alisema amesoma masuala ya procurement na anafanya mitihani ya bodi iweje leo aseme amesomea ualimu huyu ana enjoy watu hapa.
How will i accomplish this? Should i Lock my self in my room n pray? Niliwah pata kumuona mchungaji flan, lakin naona nakaribishwa tuu kwenye makanisa yao, huko nakuwa treated like otherz, yaani nachokitafuta nikifika huko sikipati. Naanza vipi kumtafuta Mungu wangu?
Naomba Muongozo.
Nikuulize swali, wewe ni mkristo katika kiwango gani,simaanishi dhehebu bali kimaandiko?
I believe in God, i believe in Jesus Christ. Hicho ndio kiwango changu Mkuu.
Una maanisha nn, unaposema swot? Sinogeshi, i mean what i write.
SWot means strength,weakness,opportunity & threat,by ur explanation according to my fellow writer u know each and every thing of ur SWot.
sijazaliwa miaka mingi ilopita, lakin jana jioni nilipokuwa nimekaa nje ya nyumba yetu, mida ya saa tano, katika kutafakar kwangu juu ya maisha yangu, nimegundua kuwa sijakamilisha chochote, yaani, i have accomplished nothing.
Nikiitizama elimu yangu, nimemaliza form six na division three, nilisoma hge na history nilipata c, geography- f, economics- c. Nilichaguliwa ualimu chuo kipya cha tabora, lakin kutokana na sababu za kiuchumi, sikuweza kwenda, badala yake nikaenda kuwa volunteer katika taasisi moja kubwa ya afya, inayomilikiwa na wahindi.
I wanted to be the best in everything i do, but i always end up the worst, if not the least. I once said i wanted to be a professor, kwa sababu ninae mjomba wangu, ambae ni professor pale chuo cha mlimani, na anaishi maisha mazuri mpaka ametusahau wapwa wake.
Niliwah kufanya rap music, miaka ya nyuma, lakin sikutoka. Nikaingia kwenye maigizo, lakin pia sikitoka.
Nikitizama navyoishi, najiona kama mfa maji, natapa tapa tuu, naweka muongozo usiku, asubuh napangua napanga mengine.
Kiufupi, naona kama nasindikiza watu, nilikuwa wa kwanza kufungua account, in comparison to my friends, lakin leo hii, nina salio dogo kuliko hata wale niliotangulia kufungua account.
Nilikuwa wa kwanza kupata kazi, kabla ya marafiki zangu, lakin sasa wao wana maendeleo makubwa kuliko mm.
Mpaka sasa nimeshindwa kuishi maisha ya kujitegemea, japo nina kazi, naogopa nikitoka nyumbani, naweza shindwa mudu gharama za kupanga. Nina ujinga mwingi kichwani, najiuliza ni vipi nitautua huu ujinga?
I dream success, i pray i become successful, but ukicheki navyo ishi, i live failure' sina nachojivunia ktk maisha haya, maana mpaka sasa, sijaweza ishi, hata theluthi ya maisha ninayoyataka.
What's wrong with me? Nakosea wapi? What am i lacking? What needs to be done in me, to transform my life from failure to success?
If i was your brother, ungenishauri nifanye nn?
anyway time will tell everything about you and it is very near.