Sijazaliwa miaka mingi ilopita, Lakin jana jioni nilipokuwa nimekaa nje ya nyumba yetu, mida ya saa Tano, katika kutafakar kwangu juu ya Maisha yangu, Nimegundua kuwa Sijakamilisha chochote, yaani, i have Accomplished Nothing.
Nikiitizama Elimu yangu, Nimemaliza form six na division three, Nilisoma HGE na History nilipata C, Geography- F, Economics- C. Nilichaguliwa Ualimu Chuo kipya cha Tabora, lakin kutokana na sababu za kiuchumi, sikuweza kwenda, Badala yake nikaenda kuwa Volunteer katika taasisi moja kubwa ya Afya, inayomilikiwa na wahindi.
I wanted to be the best in everything i do, but i always end up the worst, if not the Least. I once said i wanted to be a Professor, kwa sababu ninae Mjomba wangu, ambae ni Professor pale chuo cha Mlimani, na anaishi maisha mazuri mpaka ametusahau wapwa wake.
Niliwah kufanya RAP MUSIC, miaka ya Nyuma, lakin sikutoka. Nikaingia kwenye Maigizo, lakin pia sikitoka.
Nikitizama navyoishi, najiona kama Mfa Maji, natapa tapa tuu, Naweka Muongozo Usiku, Asubuh napangua napanga mengine.
Kiufupi, Naona kama nasindikiza watu, Nilikuwa wa kwanza kufungua Account, in comparison to my friends, lakin leo hii, nina salio dogo kuliko hata wale niliotangulia kufungua account.
Nilikuwa wa kwanza kupata kazi, kabla ya Marafiki zangu, lakin sasa wao wana maendeleo Makubwa kuliko mm.
Mpaka sasa nimeshindwa kuishi maisha ya kujitegemea, japo nina kazi, Naogopa nikitoka nyumbani, naweza shindwa mudu gharama za kupanga. Nina Ujinga mwingi kichwani, najiuliza ni vipi nitautua huu Ujinga?
I dream Success, i pray i become successful, but ukicheki navyo ishi, I Live Failure' Sina nachojivunia ktk Maisha haya, Maana mpaka sasa, sijaweza ishi, hata theluthi ya Maisha ninayoyataka.
What's wrong with me? Nakosea wapi? What am i Lacking? What needs to be done in me, to Transform my Life from Failure to Success?
If i was your brother, Ungenishauri nifanye nn?

Jitahidi kuacha uwo ujinga uliosema unao mwingi kichwani, then utafanikiwa.

Inawezekana Una ADHD
Ila strength na weaknesses haja zitaja mkuu,na ndio kitu ambacho anataka tumsaidie aweze kujua strength Yake na weakness yake zipo wapi ili aweze kutumia vyema opportunities alizonazombona mi naona analysis yako hapo juu ni SWOT tayari? labda kama umepost kunogesha baraza humu jamvini....
Sijazaliwa miaka mingi ilopita, Lakin jana jioni nilipokuwa nimekaa nje ya nyumba yetu, mida ya saa Tano, katika kutafakar kwangu juu ya Maisha yangu, Nimegundua kuwa Sijakamilisha chochote, yaani, i have Accomplished Nothing.
Nikiitizama Elimu yangu, Nimemaliza form six na division three, Nilisoma HGE na History nilipata C, Geography- F, Economics- C. Nilichaguliwa Ualimu Chuo kipya cha Tabora, lakin kutokana na sababu za kiuchumi, sikuweza kwenda, Badala yake nikaenda kuwa Volunteer katika taasisi moja kubwa ya Afya, inayomilikiwa na wahindi.
I wanted to be the best in everything i do, but i always end up the worst, if not the Least. I once said i wanted to be a Professor, kwa sababu ninae Mjomba wangu, ambae ni Professor pale chuo cha Mlimani, na anaishi maisha mazuri mpaka ametusahau wapwa wake.
Niliwah kufanya RAP MUSIC, miaka ya Nyuma, lakin sikutoka. Nikaingia kwenye Maigizo, lakin pia sikitoka.
Nikitizama navyoishi, najiona kama Mfa Maji, natapa tapa tuu, Naweka Muongozo Usiku, Asubuh napangua napanga mengine.
Kiufupi, Naona kama nasindikiza watu, Nilikuwa wa kwanza kufungua Account, in comparison to my friends, lakin leo hii, nina salio dogo kuliko hata wale niliotangulia kufungua account.
Nilikuwa wa kwanza kupata kazi, kabla ya Marafiki zangu, lakin sasa wao wana maendeleo Makubwa kuliko mm.
Mpaka sasa nimeshindwa kuishi maisha ya kujitegemea, japo nina kazi, Naogopa nikitoka nyumbani, naweza shindwa mudu gharama za kupanga. Nina Ujinga mwingi kichwani, najiuliza ni vipi nitautua huu Ujinga?
I dream Success, i pray i become successful, but ukicheki navyo ishi, I Live Failure' Sina nachojivunia ktk Maisha haya, Maana mpaka sasa, sijaweza ishi, hata theluthi ya Maisha ninayoyataka.
What's wrong with me? Nakosea wapi? What am i Lacking? What needs to be done in me, to Transform my Life from Failure to Success?
If i was your brother, Ungenishauri nifanye nn?[/QUOTE
Nimekua nikifuatilia sana threads zako mbona naona kama unajikanganya ivi ile threads ya mapenzi mapenzi jamani uliandika ya kwamba ulikua unafanya mitihani ya bodi ya procurement na umesomea procurement iweje leo useme umesomea ualimu?
HUyu mwanzoni alisema amesoma masuala ya procurement na anafanya mitihani ya bodi iweje leo aseme amesomea ualimu huyu ana enjoy watu hapa.Sijazaliwa miaka mingi ilopita, Lakin jana jioni nilipokuwa nimekaa nje ya nyumba yetu, mida ya saa Tano, katika kutafakar kwangu juu ya Maisha yangu, Nimegundua kuwa Sijakamilisha chochote, yaani, i have Accomplished Nothing.