I gat this serious problem!

No anazotumia ni 0756171603
 
Kuba iz no zimenipigia 0764407138 uyu anaitwa christina salim anasema ni secretary....unatuma 50000 unakopeshwa lak 5 kila mwsho wa mwez unarejesha ef 50...haina riba
 

Huku sio uzinzi tu na wanaoenda jukwaa la BIASHARA NA UCHUMI ndio sisi wenyewe ama kila jukwaa lina usajili wake?
 

Well said miss chaga...thnx for concern
 

Santee mkuu...thnx much
 
Kuba iz no zimenipigia 0764407138 uyu anaitwa christina salim anasema ni secretary....unatuma 50000 unakopeshwa lak 5 kila mwsho wa mwez unarejesha ef 50...haina riba

Unawaza kukopa tu,tena hovyo hovyo,laki 5 unafanyia nn wewe uliyeajiriwa kama siyo kuishia kununua ma jeans na mabuti ya kimarekani

Sio unakopa kisa kuna fursa ya kukopa,una fursa ya kuifanyia biashara,ushaianza

Mkopo bila interest sio mkopo,una jina lake
 
Huku sio uzinzi tu na wanaoenda jukwaa la BIASHARA NA UCHUMI ndio sisi wenyewe ama kila jukwaa lina usajili wake?
Kwa wastani post 15 kwa siku, yenye kichwa 1 au 2 tena bahati mbaya tu ilitakiwa iende HOJA&MCHANGANYIKO

ni forum sasa hiyo?
 
watoto wa mjini wanasema bila roho mbaya hutoki,kuwa kauzu kwenye pesa.pia punguzamatumizi yasiyokua ya lazima.lastly tafuta demu ambaye yupo visionary,muweke karibu,usikosee ukakamatia sista duu atakuzamisha kabisa.
 

Mkuu metaka kufaham kama kuna ambo wanalijua ilo au wameshafanikiwa kukopa isijekua ndo kuingizana mjin
 
Kwa wastani post 15 kwa siku, yenye kichwa 1 au 2 tena bahati mbaya tu ilitakiwa iende HOJA&MCHANGANYIKO

ni forum sasa hiyo?

Sasa watuma thread si ni mimi na wewe kama hatutumi posts za maana huoni tunawapa chance watu watume hizo unazosema za hovyo hovyo,dawa ya tatizo si kulikimbia ni kulitatua.
 
Hii ni nature ya familia nyingi za kiafrika .Saidia pale unapokuwa na uwezo huo kama huna acha kujitutumua unaumia wewe. Binadamu hawaridhikagi hata ufanyaje wao hawajui kama unamahitaji binafsi na unahitajika kusave.ukiwa huna hakuna hata mwenye muda na wewe jitahidi ndugu yangu kuweka hata 150000 kwa mwezi ili hata kama unaumwa ghafla papo pakuanzia.
 

Thanx gemmy....wel said maana ata leo ndo nkaugua apa ni mtihan labda coz kuna kakad ka nssf apa kataniokoa
 
Behind every successfully man dea z a woman xo ushauri wangu fanya mpango uoe mke uaeona nikibali machoni kwako na mungu msaidiane kubudget.
 
Okoka nakumkabidh yesu maisha yako. Toa kwa yatima Na wajane itakulipa sana baadaye. Kama una miaka zaid ya 39s oa ndpo Baraka yako ilipo hawatakupga miznga waktambua unafamilia Kama wanaakili yakutiendekeza dhik. Ndugu lawama. Hata mm nililogwa zaman Na haohao ndugu mshahara unapotea bila habari.. Lkn baada yakuokoka nikuunge sana mungu tena sana nakujtoa kwa yatma maana kuna mapepo yanaharibu mipango ya mtu ya fedha Leo ndugu yangu skufich naelekea kunako utajr. Niliumia sana vjana wenzangu chuoni waliniacha kwa kla ktu. If you believe my thread for sure you will achieve trust it In the name of Jesus..
 

Umeongea vizur ila apo ulipotaja jesus ndo umentibua...kweny mitandao km iv bi bora kutumia maneno kama niombe kwa iman yangu....
Ofcoz maudhui nimeyapata na ntaomba kwa imani yang
 
Hapo nilipo weka Alama nyekundu achana na marafiki wa mwisho wa mwezi

kama nyumbani kwenye familia yenu una wazazi wawili i mean Baba na Mama ndio wa kuwapa msaada lakini ndugu na marafiki wengine simamisha kwanz akwa muda jiangalie wewe

mwenyewe huo mshara wako wa mwezi unakutosha kukidhi mahitaji yako? Huna nuksi wala nini una matatizo ya kupenda kutowa misaada ovyo ovyo bila ya mpango na una tabia ya

kupenda kuwakopeha watu kisha hao unaowakopesha hawakulpi hela zako jichunge na

marafiki wa mwisho wa mwezi utafanikiwa. Ingawa hujatueleza una miaka mingapi? Una mpenzi au mchumba? ukifuata ushauri wangu utaweza kufankiwa asante.


muone MziziMkavu lazima utakua na jini pesa ninyonyoe
Huyu ni kama yule Kassim wa mataumizi walimuimba Ochestra Mlimani Park Sikinde ngoma ya Ukae miaka 1980 asipotumia akili zake atakuwa kila siku hana pesa kazi kwake.
 
asanteni kwa ushauri jamani. kwani hata mimi pia nina tatizo hilohilo, napitia ushauri hapa.
 
Wadau niwasalim

sababu ambazo binafsi naziona ni kua na apointment nyingi za kutoa hela kwa mfano nyumbani..labda kwa baadhi ya watu wangu wa karibu...

Wasalaam...
Mkuu ni vizuri kuwa unajua kiini cha tatizo kama ulivyoainisha hapo juu. Unachotakiwa kufanya weka kiwango maalum cha kuwapa wazazi kwa mwezi na wao wajue hivyo pia punguza hizo ahadi za kuwapa watu pesa. Kumbuka wanaomba zakwako lkn zao wanafanyia mambo ya maana na yenye kuonekana siku ukija kugundua utaumia. Sisemi usiwasaidie toa msaada pale inapolazimu tu. Kama ulivyoshauriwa na wadau wengine fungua account humo jiwekee kiwango cha kuweka kila mwezi yaani upunguze mshahara wako kwa kama laki 2 au kama unapokea 1mil basi upunguze mshahara kwa laki 4. Weka bank hizo lk 4 na zinazobaki panga matumizi yako kwa mwezi. Yaani iwe kana kwamba mshahara wako umeshuka kwa kiasi hicho na lazima uishi kwa mshahara.

Ukifanya hivi itakusaidia sana kujiwekea akiba na pengine waweza fanya mambo makubwa. Yaani hicho kiwango utachokipunguza kwenye mshahara fanya kukisahau kabisa na ujitune kana kwamba wewe ni wa kima flani cha mshahra. Kitu kingine kinachomaliza pesa ni michango ya harusi, kipaimara, komnio n.k usitoe au punguza kiwango cha kuchangia kwani si lazima kila mwezi uende kwenye sherehe. Pombe na starehe zingine zinazofanana na hizoo kama unafanya basi punguza .

Mkuu ukifanya hayo na mengine waweza ona mafanikio .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…