I gat this serious problem!


chukua ushauri huu ni nzuri
 

Hahaha..thnx much..iyo kampen naianza leo nikirud tu om....iyo haisubir mshahara uje nianze kupanga theluth
 

kudos ninja for the words..
 
Mie siamini kama chakula chako tu kinaweza maliza pesa yako.

Matumizi nje ya nyumbani ndio humaliza pesa na starehe. Ukijiwekea mambo mengi ya kutimiza, utajikuta automatic huna hela ya kuwapa wengine.

Asante "the boss" kwa ushauri mzuri....by tht i can surely improve somthn..
 
kama unatumia pombe acha. na wanawake punguza. usimuibie Mungu namaanisha toa 10 percent kuepuka mifuko kutoboka . pia jijengee kuwa na displine na fedha inayo pita mikononi mwako.

Kuhus pombe i dnt drink...at all
..ila kuhusu kua na discipline na ela inayopita mkonon tht is thnx.....ntajitahd coz t sims like it wil help alot
 

Asante kwa ushauri..ntazingatia maudhui mkuu
 

hizo ndio features za matajiri wote duniani
 

Asante mkuu...nafikir am pasing the same way....nashkuru kwa kunipa moyo pia nashkuru kumbe kuna wenzangu nao wametokea uku....ths give me strength that soon o later it wil pass maana nakua na mawazo balaaa
 
tafuta biasahara ufanye

pia punguza idadi ya unaowapa fedha, yaani inakuaje unakopa ili umpe mtu hela? kama mlengwa haumwi ?

Kuhusu kufanya biashara i nid some time coz ndo kwanza nna 6 month kazin na kwa matatizo nnayopata u can emergin no saving....
Ingawa kwenye kukopa nompe mtu apo nimeona n makosa....
Apo sirudii kosa kwa kwel
 
Nivizuri ukiwa na mawazo, kufanya kazi na kubaki katika maisha yale yale kila siku haikubaliki.

Baada ya muda fulani hili tatizo linatakiwa liwe limeisha, komaa tu. Kujua udhaifu ni kuushinda.

Asante mkuu...nafikir am pasing the same way....nashkuru kwa kunipa moyo pia nashkuru kumbe kuna wenzangu nao wametokea uku....ths give me strength that soon o later it wil pass maana nakua na mawazo balaaa
 
Nivizuri ukiwa na mawazo, kufanya kazi na kubaki katika maisha yale yale kila siku haikubaliki.

Baada ya muda fulani hili tatizo linatakiwa liwe limeisha, komaa tu. Kujua udhaifu ni kuushinda.

Sure...knowing the prob z half way solvin it....
 
laern how to pay yourself before paying other bills and other things nikia na maana 1/3 ya mshahara wako hakikisha haugusi unaweka akiba itakuwa vizuri kama ukafungua account bank nyingine hata kama ni ya saving tu alafu ATM card ukaimissplace ili uwe unapata shida kufikiria kwenda kudroo hela kirahisi mpaka uingie ndani...... pia jaribu kuweka bajeti yako kamili ya mweezi ikiwa inahusisha nauli, chakula, maji na bila kusahau starehe kama ikiifaa..... ndugu zako waambie unaplan nyingi mbele yako zinahitaji hela wakiwa wanalia njaaaa na we unakuwa huna akiba inayokufanya au nguvu inayokufanya uwape ahadi .... ila principle itakayokusaidia ni hii PAY YOURSELF FIRST BEFORE PAY OTHRERS have a nice try..
 
Mkuu jifunze kuwa mchoyo a bit hasa kwa hawa extended family. Wape somo tu kuwa maisha ni magumu na kazi mshahara ni mdogo so huwezi kuwahudumia wote. Ukiwaendekeza hutafika popote!!! Na wengine wanachukulia udhaifu wako wa ukarimu kukufanya ATM hata kwa tatizo ambalo liko kwenye uwezo wao. Maisha ni yako, ukidhalilika watu hawaangalii ulimsaidia nani, wanakuangalia wewe kama wewe. Mimi niliwasaidia hasa kusomesha angalao mmoja wa wale family wasiokuwa na uwezo hasa yule ambaye alielekea kusoma kwa bidii, kwa lengo la wazi kuwa nafanya hivi ili uwasaidie wenzio. Kwa baadhi nilifanikiwa kwa wengine niligonga mwamba..Na sharia ilikuwa ukifeli form iv usinitafute. Kumbuka bado hujawa na familia na watoto wa kusomesha academy, kule ada kwa shule nzuri not less than 3m bado matumizi mengine. Kuna zile extremes ada hadi 8m. Sasa kwa mtindo huo wanao utasomesha shule za Kayumba au? Hapo ni kudidimia zaidi na kujiongezea stress na presha na kutafuta kifo cha haraka.
 
Mkuu omba mods wahamishie jukwaa la Uchumi na Biashara,kule na jukwaa la tech watu wanakata nondo haswaa

Huku uzinzi na kufundishana kuvaa kondom tuu

Anyway,
1.jiwekee unataka u save kiasi gn?fungua a/c tofauti km malengo-nbc, stanbic, Akiba nayo wanayo n.k sio fixed persee kwani una deposit mpaka ifike kiasi flani ndio unaruhusiwa kutoa au huwezi withdrawal mpaka kipindi fulani kipite. Kampani expenditure-based zi delete

2. Angalia ni wapi unaweza kupunguza na kubana matumizi, kuanzia chakula,mavazi na michango ya kijamii then shughulika napo. Kama unashindwa kuji control ukiwa single na familia utaweza kuwajenga kimatumizi?

3. Jiwekee lengo mwaka huu nataka kufanya nn? Hakikisha lengo linapimika na kutimia i.e mradi kwa wategemezi,kiwanja,akiba ya kiasi flani kwa mwaka

Hakuna kutoa michango unnecessarily, UMRI UNAENDA, unakula ujana..uzee utameza na nani?
 
Jaman thts is ya haraka...ni kwel zzito kabwe anaHusika na iyo focus vicoba !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…