Wadau niwasalim
Kwanza naonba nikiri kwa sasa jf na haswa mmu imekua ni sehem muhimu kiushauri kwangu binafsi..
tukiacha wale ambao mara zote wana-comment pumba kuna watu muhimu sana umu na wana ushauri murua wakat wote ambao ndo haswa ningependa nipate ushauri wao.
Mim nina tatizo moja kua hela hazikai!!....nikipokea mshahara sina siku tano umeisha...na kwa sabab sina familia...niko mwenyew na kiwango nnacholipwa kinatakiwa kikidhi mahitaj yangu ya mwez na kubakisha akiba...
sababu ambazo binafsi naziona ni kua na apointment nyng za kutoa ela kwa mfano nyumban..labda kwa baadh ya watu wangu wa karibu...
Binafsi ili tatzo linakua sugu na kila nikisema niji-control nashindwa kias cha najikuta nna maden meng sana mwsho wa mwez....unaeza kukuta nadaiwa ata lak 3 mpk mwsho wa mwez...
Tatizo il linanifanya nakosa ufanisi mzuri kazin na ata kufikia kuona nahatarisha hiki kibarua...
8
Tafadhali kwa wale wenye ushauri chanya juu ya hali hii naomba ushauri wenu maana maisha yamekua magum ingawa kaz nnayo na mshahara napata
Wasalaam...