I.G.P aliye wahi kuwajibika

I.G.P aliye wahi kuwajibika

Hamza Aziz ndo nakumbuka IGP aliye wahi kuwajibika kutokana na uzembe enzi za mwalimu. Huyu jamaa alikua kama na mkosi vile sababu kuna kipindi alikumbwa na kesi ya mauaji baada ya kugonga mtu pale mtaa wa Ohio. Kilicho muokoa ni report ya daktari iliyo sema kwamba IGP aligonga mtu aliyekuwa kashagongwa na gari lingine so aligonga maiti. Hapo ndo akapona lakini angijua Segerea. Yupo Dc pia alipelekwa mahakamani kwa kosa la kugonga ila kesi ilipotea baada ya vita ya kagera,jaji Kalegea naye yumo.

Kama sikosei hata Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi alipokuwa waziri wa wizara ya mambo ya ndani aliwahi kujiuzulu kama sikosei kwa kashfa ya watu kupigwa huko Mkoani Shinyanga.Anayejua vizuri hii story naomba atuelezee vizuri.
 
Mwema alipoteza mvuto mara tu ile intelijensia yake ilipo fail kule Arusha...baasii kuanzia hapo hana jipya!
 
Back
Top Bottom